The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

Mungi, Arushaone, Nicas Mtei , nitonye na genge lenu la wakware kina Erickb52 najua vimewashuka,habari ndo hiyo super bishanga na uzee wangu shoka moja mbuyu chini.
Tulieni niacheni mimi na mzazi tupumzike,it has been a long labour.
King'asti, Mamndenyi, Chocs na Rich woman ahsanteni kwa salam zenu za upendo Mungu awabariki.............btw katika kipindi hiki cha mai waif kunyonyesha mnanisaidiaje?
Kopi: Madame B ( kan yu help?).........ngariba gfsonwin kaa mbali na binti yangu.
Sasa vitanishukaje na wakati mi ndiye baba wa mtoto?
We ndio yatakushuka kulea mtoto ambaye si wako!
Angalia anavyofanana na Mimi....!
Pole sana Bishanga na hongera sana The secretary kwa kuniletea mtoto wangu nimpendaye.
 
Last edited by a moderator:
ni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo jina lake lihimidiwe namwomba atuongoze kwani safari tuliyo nayo ni ndefu sana.cc: Karucee asante kwa maombi yako.
Hongera The secretary
Mungu awape afya njema wewe na mwanangu!
 
Last edited by a moderator:
hongera, Allah akukuzie na awape afya njema wewe na mtoto! Baba mtoto nae anaendelaeaje?
 
ni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo jina lake lihimidiwe namwomba atuongoze kwani safari tuliyo nayo ni ndefu sana.cc: Karucee asante kwa maombi yako.

Nashangaa hujaniletea copy wakati nilikuwa kwenye maombi na Karucee siku zote..... Btw hongera sana mpendwa Mungu azidi kukusimamia !

Nicas Mtei mkwe huyo...... Fanya tupeleke ndizi na nyama kwaajili ya supu ili mkwe anyonyeshwe vizuri
 
Last edited by a moderator:
Mungi, Arushaone, Nicas Mtei , nitonye na genge lenu la wakware kina Erickb52 najua vimewashuka,habari ndo hiyo super bishanga na uzee wangu shoka moja mbuyu chini.
Tulieni niacheni mimi na mzazi tupumzike,it has been a long labour.
King'asti, Mamndenyi, Chocs na Rich woman ahsanteni kwa salam zenu za upendo Mungu awabariki.............btw katika kipindi hiki cha mai waif kunyonyesha mnanisaidiaje?
Kopi: Madame B ( kan yu help?).........ngariba gfsonwin kaa mbali na binti yangu.

Naomba nije kukukanda maji Bishanga.
Nataka nitoe dhana kuwa anaestahili kukandwa maji ni mama.
Leo nataka nikukande maji wewe baba.
Vua nguo,tangulia bafuni nakuja.
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa hujaniletea copy wakati nilikuwa kwenye maombi na Karucee siku zote..... Btw hongera sana mpendwa Mungu azidi kukusimamia !

Nicas Mtei mkwe huyo...... Fanya tupeleke ndizi na nyama kwaajili ya supu ili mkwe anyonyeshwe vizuri

Ndo nafanya mchakato hapa.. Bado baba wa mtoto huyo hajajulikana. Inasemekana eti si wa Bishanga.
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa hujaniletea copy wakati nilikuwa kwenye maombi na Karucee siku zote..... Btw hongera sana mpendwa Mungu azidi kukusimamia !

Nicas Mtei mkwe huyo...... Fanya tupeleke ndizi na nyama kwaajili ya supu ili mkwe anyonyeshwe vizuri
Hivi ni nani baba wa mtoto hapa naona unataka kuleta mgogoro
 
Last edited by a moderator:
ni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo jina lake lihimidiwe namwomba atuongoze kwani safari tuliyo nayo ni ndefu sana.cc: Karucee asante kwa maombi yako.

oooh jamani am so delighted. Mwanangu amepata mchumba.We are all so happy for you and would like to share the joy of becoming a mom to your little angel! Congratulations mom!
 
Nashangaa hujaniletea copy wakati nilikuwa kwenye maombi na Karucee siku zote..... Btw hongera sana mpendwa Mungu azidi kukusimamia !

Nicas Mtei mkwe huyo...... Fanya tupeleke ndizi na nyama kwaajili ya supu ili mkwe anyonyeshwe vizuri

sorry sweetlady wakati naenda mdundikoni tulikuwa tunawasiliana na karucee akili ikawa imehamia huko nimekukuta hapa ndo nikakumbuka sweetlady kapotea si atakuta mtori umeisha akutane na nguna charminglady wewe tu kutuletea habari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom