The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

EE bwana umeshatoka spitali? Naomba nije kukutembelea mamito. If it is possible please nipe details PM nije fasta.
 
Mungi, Arushaone, Nicas Mtei , nitonye na genge lenu la wakware kina Erickb52 najua vimewashuka,habari ndo hiyo super bishanga na uzee wangu shoka moja mbuyu chini.
Tulieni niacheni mimi na mzazi tupumzike,it has been a long labour.
King'asti, Mamndenyi, Chocs na Rich woman ahsanteni kwa salam zenu za upendo Mungu awabariki.............btw katika kipindi hiki cha mai waif kunyonyesha mnanisaidiaje?
Kopi: Madame B ( kan yu help?).........ngariba gfsonwin kaa mbali na binti yangu.

Achana na hao watoto wa mamushka na chama lao la wagane naona Mungi na Nicas Mtei wamejiunga bado chama la wajane litakaloongozwa na Mamndenyi a.k.a mamushka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom