nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Hivi kwa nini unahadaika na vitu vidogo vp ile totto niliyokuchora pale maungioni ulimuonyesha Nicas Mtei?
Last edited by a moderator:
Hivi kwa nini unahadaika na vitu vidogo vp ile totto niliyokuchora pale maungioni ulimuonyesha Nicas Mtei?
Mzalie wa kwake hivi hujui kama ni toashi
ni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo jina lake lihimidiwe namwomba atuongoze kwani safari tuliyo nayo ni ndefu sana.cc: Karucee asante kwa maombi yako.
Mzee wa Dubai hajaja kumwona mtoto?
Hivi kwa nini unahadaika na vitu vidogo vp ile totto niliyokuchora pale maungioni ulimuonyesha Nicas Mtei?
Ahsante kwa kumletea mwanangu mke. Dad wake ni yup? Nataka kujua tabia.
Hongera sana The secretary
Hivi kwa nini unahadaika na vitu vidogo vp ile totto niliyokuchora pale maungioni ulimuonyesha Nicas Mtei?
I love u my darling
Mda mwingine mapigo ya moyo huenda mbio pale nionapo hii ID, sijui nianzie wapi?Hongera sana dear
Hivi kwa nini unahadaika na vitu vidogo vp ile totto niliyokuchora pale maungioni ulimuonyesha Nicas Mtei?
Mda mwingine mapigo ya moyo huenda mbio pale nionapo hii ID, sijui nianzie wapi?
nitonye tu dearmda mwingine mapigo ya moyo huenda mbio pale nionapo hii id, sijui nianzie wapi?
napita tu hapalove you more honey!
Naomba unipe nafasi moyoni mwako mapenzi yananitatisha juu yako.nitonye tu dear
napita tu hapa
xoxo
oyaaaaa Gaspery Lasway. Huyo ni booked tayari. Umeshachelewa.
moyo ulivo mdogo una nafasi ya kumuweka mtu jamani? au hujasoma biology? unajua structure ya moyo kweli? mtu anaweza kukaa katika moyo wa mtu au unataka kuniua? ama wewe jini?Naomba unipe nafasi moyoni mwako mapenzi yananitatisha juu yako.