The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

ni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo jina lake lihimidiwe namwomba atuongoze kwani safari tuliyo nayo ni ndefu sana.cc: Karucee asante kwa maombi yako.

Hongera sana!
 
hongera sana The secretary kwa kutuletea mgeni mpya duniani.. Napenda pia niwapongeze wajomba zake mtoto.. Bishanga ataniwia radhi ciwezi nikampa hongera labda aje na vipimo vya dna hapa kuthibitisha..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom