daaah hongera sana aisee.....barikiwa sana The secretary
umefanyajeeee....mbonamie napata madume tuuuuuuuuuuuuu?!?!?!? Bishanga....ujuzi please...
cc sosoliso
Hehehee
Unajua nyi mnaniharibu aisee
nitonye, please acha kunitafuta ubaya. NImeshafanya booking ya mchumba.
nitonye, please acha kunitafuta ubaya. NImeshafanya booking ya mchumba.
nitonye, please acha kunitafuta ubaya. NImeshafanya booking ya mchumba.
maana huyu nilifundisha kuvaa miwani sasa imekuwa kosa au anafanana na huyu
mlete home kwangu nimtoboe pua avae kipini mapema kabla haajanza kunyonya na masikio kwani mm ni mtaalamu wa masuala hayo.Aii basi mnazidi kuniharibu Mamndenyi
Hongereni Bishanga na The secretary
Yerewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Hongera sana shem The secretary! Hongera sana Bishanga!