JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa alimpenda demu mmoja sasa ikabidi amuite bar moja ili wafanye mazungumzo yao jamaa mhudumu tuletee cocacola demu: coka nini? Leta kiroba hapa kama ni wewe ungefanyaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pesa kweli wewe ni kila kitu kwangu, kweli pesa wewe ni kiboko, pesa umeniweka mbali na familia yangu miezi miwili sasa, pesa umenifanya leo nimeamka asubuhi saa kumi na nusu asubuhi kuelekea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1:Ume pause Movie? :Hapana,Wamechoka kuact,Wanapumzika 2:Hiyo ni accident? :Hapana,ni dereva ameamua kupark gari juu chini. 3:Gari Imejaa?Nitakalia Wapi? : Usijali, dereva anashukia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
No NO0
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sijui kwa nini wazazi weng wa kutoka Kilimanjaro wanapenda kuita watoto wao hili jina Glory? Ukienda shuleni, maofisini basi 90 % ni toka kilimanjaro au akitokea eneo lingne basi moja ya mzazi au...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Kujamba ni raha jaman,mweee!!! pfpuuuh!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Niliangalia status tatu za Demu flani Facebook, ilikuwa ivi. STATUS YA KWANZA: "Leo lazima niende club" Friday at 5:15pm via Nokia STATUS YA PILI: "lol, siamini aiseee... Yaani kizee...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tar kama ya Leo ilimpendeza Mungu kuitwa Baba Faith;Pengine wapo waliopita majaribu ya Ndoa napenda kuwapa moyo Mungu ana muda wake;wakati ndugu na binadamu wakikuiita majina kadhaaa usijali jali...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu bila shaka mnaendelea vema basi leo ni jambo moja lina nisumbua kichwa hivi nini siri ya usingizi ?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwenzangu, Je unakumbuka wakati tunamaliza secondary iwe O level au A level tulikwa na kitu kinaitwa autograph. Unachukua daftari jipya unabandika picha za magazeti na kuwapa rafiki zako wakupe...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
A little thing in hand is worth more than a great thing in prospect.
1 Reactions
254 Replies
20K Views
Mwanamke pekee aliye na ridhiko la nafsi , asiye na wasiwasi , asiye na mshawasha kwa 200% ! Roho kumtanga kwamba mumewe yuko wapi , anafanya nini , ni MJANE tu! Waliobaki wote ni hauchi -...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa uzoefu wangu Watanzania hatukawii kusahau na kuchukulia jambo kuwa NI KAZI YA MUNGU. baada wa SUMATRA kupandisha nauli najua keshokutwa sisi tunaotumia usafiri wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Muuza Samaki na Mteja at kibandan Mteja: samaki sh ngapi? Muuzaji: sh 500 Mteja: mwisho muuzaji: mkiani Mteja: mbona samaki mwenyewe kalegea? Muuzaji: labda alikuwa shoga baharini
0 Reactions
1 Replies
1K Views
What it says:... Memo from CEO to Manager: Today at 11 o'clock there will be a total eclipse of the sun. This is when the sun disappears behind the moon for two minutes. As this is something that...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
The intelligence scores came from work carried out earlier this decade by Richard Lynn, a British psychologist, and Tatu Vanhanen, a Finnish political scientist, who analysed IQ studies from 113...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni mambo gani yanayoifanya sumbawanga kuwa wilaya inayoonekana kuwa na uchawi kwa kiwango cha juu? vip TANGA,BAGAMOYO na KIGOMA?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi ni popote kwa wote,uwe kijana,mzee,mtu mzima,kwa jinsia zote.Ukijickia lakn--haulazmishwi check me on email; mandeledenis@gmail.com. LIFE WITH FRIENDS IS EVERYTHING,JUST TRY IT-----
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Jombaa imekaaje jamaaa zangu. morani nimetinga arachuga leo,wenyeji nko wapi? niko hapa stendi wakulima bar nabung'aa bung'aa tu hapa!
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Kama unamfahamu mtu mwenye wajii wa picha hii ni PM au nipigie 0817547587. Huyu jamaa anamaliza sana haski za mke wangu mpaka ndoa imekuwa ndoano. nimemuinda bila mafanikio. Nimemchora kwa mujibu...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Back
Top Bottom