JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
...we never forget ...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
nauliza kwa ambao washawahi kwenda mafia mnapita wapi kwenda kwa boti? kwa kutokea dar mnapandia wapi boti na nauli zikoje? na usalama? nataka niende kutafuta opportunity za biashara huko
0 Reactions
11 Replies
2K Views
IKIWA NJAA IMEKUSHIKA USIWE NA HOFU SANA WEWE PIGA DUAAA HII MAMBO YATAKUWA SWAFII. Y aa kabab fil chips kuku minal sosegi, Ya sambusa wali chapati roast maini, Innal pilau wali birian ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
The safe way to double ur money is to fold it over once & put it in ur pocket
0 Reactions
0 Replies
620 Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wiki 2 baada ya haruc,mama alimuuliza bintiye, vp maisha ya ndoa? MTOTO: Du! kama British Airways. Mama akatoka mpaka airport kuangalia ratiba ya british airways..Akakuta kwa wk inasafir mara 7 na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilianza kumchezea kwa upole sana bila tabu! si ndio nikaanza kulamba!.. Mtoto ametulia tuuh! Nikalamba tena bado mtoto yupo tuliiii. ---> . . . Nikaona nipake mate ili nilambe vizuri! Ile...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Umetoka kwenda town kwenye mishemishe zako umemuachia dada wa kazi maagizo afanya usafi vitu vyako vyote chumbani. Unarudi unakuta kazi hii hapa. Ni kosa la nani na utamfanyaje? Created by Joti...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
A man joined a big Multi National Company as a trainee..... On his first day, he dialed the kitchen and shouted into the phone: "Get me a cup of coffee, quickly!" The voice from the other...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nadhani wote humu mko wazima na makini (wenyewe wanasema gado).. Yametokea matukio kadhaa kwenye wakati wa sikukuu hii ya Pasaka.. Kuna mengine ambayo yalinilazimisha kuyaundia tume ili kufahamu...
9 Reactions
211 Replies
11K Views
MWALIMU alisinzia darasani, DOGO akamfuata na kumwambia, "Ticha mbona umetupa zoezi tufanye alafu unasinzia??" MWALIMU: ''Hapana mimi sijalala!" DOGO: ''Wafanya nini? Mi nimekuona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mambo ya kuchekesha sana,ukikumbuka mapenzi enzi za skul,miaka ile,ati tuko skul twaitana wife na husband,sijui hata huyo 'wife' sasa kaolewa na nani na yuko wapi,tulipendana,ukimkosa siku moja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mtoto mmoja alikua analia makaburini kelikeli sasa jamaa moja akapita akamuuliza mtoto analia nini. Mtoto akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu je huyu mtoto anahusiano gani na marehemu
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Sijui kama ni mimi tu au kina mwenzangu ambao mabosi wao ni their nightmares, hebu tupia hapa kama ukihakikishiwa kutofukuzwa kazi nini utamwambia bosi wako? Toka moyoni kabisa
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Tangia neno tiGO lianze kutumika kwenye moja ya Makampuni ya simu kumekuwa na porojo na fafanuzi nyingi kutokana na neno tiGO.... Na wengi wa watu wanatumia neno tiGO na kulifananisha na MAKALIO...
0 Reactions
27 Replies
18K Views
Mwalimu alimuliza mwanafunz hivi kesho ingekua jana leo ingekua jumapili jee kesho ilikua lini?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
katika mkoa wetu kuna kijana katumia mbinu mmbadala ya kujipatia kipato.Alitangaza kuwa kuna ngulue(kitimoto) kazaa mbwa kiingilio kwenda kumuona huyo mnyama ni sh.100 kwa watoto hadi 500 kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtoto: Mama hivi binadamu walitoka wapi? Mama: Mungu alimuumba Adam na Hawa wakazaa watoto wakaujaza ulimwengu. Baba aliporudi zake toka kwenye kilevi. Mtoto: Baba hivi binadamu walitoka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
You know u have a China phone when...... 1. The battery gets full after 3 minutes of charging... 2. The phone has a TV, microwave, torch,nail cutter, tooth brush, cigarette lighter 3. Text...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Back
Top Bottom