JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Morning wana JF. Japo bado niko ktk bed lakini kausingizi kamepotea. Naomba ushauli na uzoefu wenu katika hizi gari mbili maana nataka mojawapo iwe my first Car. Maeneo muhimu ni comfortability...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hili bango la TRA linawahusu wajameni.
0 Reactions
0 Replies
766 Views
am new member of jf nimepata story za huku nasikia full burudani
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Secrtary katka ofcn kwa bosi huku amekasrka mwnzie akamuulza "kuna nini mbona ulivyoingia ulikua sawa" akamjbu "bosi kaniuliza jioni niko free, nikamjibu absolutely free" mshenzi kanipa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tupia couples za masupastaa wa kibongo unazozijua hata huna uhakika umesikiasikia tu,we tupia,ila zisiwe za zaman tupia latest mf gadner na jide,amin na lina,marlaw na besta ......etc
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukimwona mwanamke anazunguka town hana mkoba,pochi ndogo wala leso yuko tu na kimeo chake mm nadhani huyo ni mwanamke mchafu cjisikii hata kumsalimia.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Pole Na Majukumu Ya Kila Siku Mtanzania Mwenzangu, Vipi Umeshapata MAISHA BORA Kama Walivyokuahidi CCM 2005 Na 2010? Anayekuuliza Si Mwanasiasa, sam Ni Mwanaharakati!! Hebu Jiulize Hawa Wanaotoa...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Jamaa mmoja laiamua kwenda kumtupa paka wake mbali na home, aliporudi bade home alimkuta paka katia timu kitambo tu, jamaa akakasirika sana. Siku ya pili aliamua kwenda umbali kama 50kms hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali bofya hii link uone mwaka uliozaliwa kuna matukio gani yalitokea? What happened in my birth year? please write your year only e.g. 1975
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SOFTWARE VS HARDWARE,contextually software refers to EDUCATION and HARDWARE refers to LIFE,LIFE can not command education but education can command life,that being the case why most of graduates...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Jambaz akiwa na bundik alvamia benk baada ya kupewa hela akamuulza mwanamke mmoja "umeniona nikiiba benk" mwnamke akajibu "ndio" akampiga risasi ya kichwa akawaulza wanandoa walikua pembeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani Wandungu kwa Kuleta Hii Topic Huku. Naomba Kuuliza Hili swali Kidogo Kuhusu Whatsapp. 1. Je Simu Aina Ya Ideos U8150 InaSupport WhatsApp? Samahani lakini.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hebu nielezeni mahali pa kuwapata sista poa maeneo ya Moshi town!
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Sina uhakika sana kama kisa hiki kilitokea kweli lakini kama kilitokea KUDOS kwa mtenda. In addition to that, i wish to do exactly the sama. Soma mwenyewe: " Et jamaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hii tweet nimeipata www.googlehabari.blogspot.com
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nauliza tu kaswali kwamba ikiwa siku ya wajinga duaniani itaadhimishwa kitaifa, nani anafaa kuwa mgeni Rasmi? Mimi nahisi ni Mwigulu Mchemba....wewe je?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu Rafiki zangu, Arusha wing Ukifika wakati kama huu unajikuta hata maneno ya kusema hamna, nilikuja Ar tarehe 20/2 na ninaondoka tarehe 20/3 kurudi Dar, mwezi mmoja umepita ndio maana...
2 Reactions
152 Replies
8K Views
your mother in law wants to be your friend on facebook....... ............... ......... 1.Confirm 2.Ignore 3.Not now 4.Block 5.Deactivate account
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nisaidiaeni ni wapi naweza kujiunga na timu darts kwa hapa dar es salaam, nakaa maeneo ya kimara mwisho....
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Girl: Hi Baby... Boy: Hi My Love... (Sending failed) Girl: Are You Here? Boy: Yes Yes I'm Here (Sending failed) Girl: Are You Ignoring Me Or What!? Boy: Honey, I'm Not... I'm Right...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Back
Top Bottom