Hivi nikweli?. nasemekana kuwa mnauhusiano na wanyama jamii ya nyani mnapoitana munatumia neno yego. nyani na tumbili na huitana hivyo, yegoyego,yego.yegoyego.
The Queen's Riddle
Mwai Kibaki met with the Queen of England.
He asked her, "Your Majesty, how do you run such an efficient government? Are there any tips you can give to me?"
"Well,"...
Mwanangu King'asti ni wiki sasa mimi na umbu lako tunakutafuta kwenye simu lakini kila tukipiga tunajibiwa eti unabadili badili line, kwani hujui kwamba moja yatosha...!
Angalia kubadilibadili...
CHEMSHA BONGO WAKUU; Nataka kujua km ww ni mtoto wa TOWN, sehem gani hapa dar kuna majengo ya kifahari na hiyo, hiyo sehem jina lake ni chombo cha kupikia jikoni, hilo, hilo jina ni jina la msanii...
Mida ya saa 12 jioni jamaa kahangaikia gari(daladala) hadi kapata. Kaingia ndani na 500 tu mfukoni halafu ndani wamebanana kiasi kwamba hata kunyanyua mkono wala kujikuna mtu hauwezi.Unaona bwana...
Mwenye Kigugumizi kapewa mua ale akajibu ! Si____si_____siwez_______ ---- _____----_____kumaliza ni___nina___ uboo____uboo_____Ubovu wa meno ___ la____la____labda __2___2___2katiane....!!!
Jamaa hakika pasaka itakuwa chungu leo na ukumbusho kesho na kesho kutwa baada ya kuibiwa gari na changudoa hapa maeneo xa kaumba bar mjini moro.jamaa alikuja peke yake bar,ila kuna madada...
Embu tudiskasi hii ki2? Asilimia 85 ya kina dada wamejazia makalio yao hadi wengine unawaonea huruma kama yanawaelemea vile, au kuna aina ya chakula wanakula ambacho kinakuza iyo mambo? Hapa nipo...
Habari wandugu,
Jamani nina siku mbili mfululizo sina umeme nyumbani kwangu. Na huwa nina mazoea ya kunua vitu vya mwezi mzima.
Hivi ninavyoongea Samaki wote waliotoka kanda ya ziwa kwishne...
wadau wa chit chat, ningependa leo tukumbushiane matani ya zamani, mimi naanza hivi..
Muone kwanza miguu kama spoku za baiskeli, kichwa kama boga, twende sasa, ndio maana mnene mpaka unajipepea...
Habarini wanduga
kuna lile tangazo la Chacha na Masawe , ambapo Masawe anamuuliza Chacha atapata wapi kaptula kubwa yenye mamifuko makubwa anataka kwenda China kibiashara.
mwenye tangazo hilo...
Jamani hv mshawah kufuatilia ndege aitwaye bata wa jinsia ya kiume? Hivi kile kimnyororo kinachotoka wakati anafanya 'matusi' ndio uume wake? ni kwanini umejivirigana vile na kwanini unachelewa...
ndugu zangu ni jambo la kawaida kusikia msemo unaosema 'wanawake hawapendani' na upo hata msemo mwingine unaosemwa 'adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake'. wadau napenda tujadili hili swala, je ni...
Kulikuwa na wavuta bangi wawili ambao walikuwa wanackia njaa xana! katika pilka pilka za kutembea wakaona mti wa maembe wenye maembe mabivu! Wavuta bangi hao hawakuslek wakaanza kupura kupura...
Wakati wa msosi dingi
anamlazimisha dogo
aombee chakula, dogo
akawa hataki lakini baada
ya kulazimishwa sana
akaanza kuombea chakula ili wale. Akaanza: "Ee Mungu
nakushukuru kwa
kutubariki...
Mtanzania na mkenya waliingia
supermarket moja jjni
Dsm,walipotoka Mkenya akawa
anajigamba kwamba wakenya ni
wajanja kuliko wa Tz huku
akimwonyesha mTz chokolet tatu
alizoiba supermarket,mbongo...
Pasta: "Ningekuwa na
uwezo,ningechukua BIA
zote
nikazitupe kwenye mto
Waumini:
Ameen! Pasta: Ningekuwa na
uwezo,ningechukua
KONYANGI
zote nizitupe mtoni.....
Waumini: Amen!
Pasta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.