Kuna masai moja alikukwenda kanisani, alipofika nje ya geti akasikia pambio limepamba moto.... Simba wa Yuudaa!! anangurumaaa!!! anangurumaaa Simbaaaa!!
ee, akasimama kisikilizia, wazee wa...
Mdada mmoja mke wa mtu alikuwa akisumbuliwa sana na jamaa mmoja aliyekuwa akimtaka kila siku, hatimae akamwambia mumewe. Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila mwambie aje mlale hapa kwetu, mi...
ndo hivo..tumejitahidi kadri tulivoweza..but imeshindikana..
copy: Baba V ,cuzin @snowhite,my dia Rich woman,ma dia Zion Daughter na wote wahusikao umu cc
Habari zenyu binafsi wana Chit Chat..
Kwa mara nyingine nimerudi tena kutoka likizo...
Niliwamiss sana wote wote..
From now nipo kwa saaaaaaaaanaaaa!!!!!!!!!!
Cheer
:humble::humble::humble:
CL
Nimeshangazwa na members wa Jf kuwa na upendeleo kwa baadhi ya member! Ikifika siku ya kuzaliwa kwa mtu ambae siyo maarufu hakuna hata wishes anayopewa bt akiwa maarufu inakuwa Shida! Hapa...
Ni sehemu gani hapa Dar kuna majengo ya kifahari na hiyo sehemu ukitoa herufi tano za mwisho unapata jina la chombo cha kupikia jikoni,na hilo ukitoa herufi nne za mwanzo unapata jina la msanii...
Ticha katoa mtihani wa biology. Swali mojawapo lilikuwa ni mchoro wa ndege na wanyama kama wa5 hvi,chini ya kila mchoro kulikuwa na swali taja kingdom,class,gentre za kiumbe huyu...
Mwanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.