JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Why do you judge me? You have not walked in my shoes! You have not been down my road! You have not carried my load! Why Do you judge me Judgement? You think you know my story! You think...
2 Reactions
167 Replies
7K Views
Bona bana.... Bona baaana... Bona bana... Lutambukage.... Mbaluga omumalembo.... Namuleta..... Namuletaaa... Namuleta The secretary..... Naluga omumalembo.... Nolya noyenda........
3 Reactions
120 Replies
9K Views
Mr Rocky You are
5 Reactions
139 Replies
8K Views
Wapendwa, Siku yetu imefika tena. Tukumbuke njia ya msalaba leo kwani ndio mwisho. Ijumaaa ijayo ni ijumaa kuu.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimeamua kujipongeza hepi besidei baada ya kutimiza mwaka hapa Efu jei. Si mchezo, mwaka mzima ukiwa unafurahia kupasuliwa vichwa na watu usiowafahamu kimwili bali kimawazo tu. Ni starehe ya aina...
9 Reactions
262 Replies
12K Views
“Jamani vita vya panzi nafuu kwa kunguru” ila hapa nauliza amu ninaweza kukudivert kwenye njia yangu?Ila kama hautajali na mimi I’ll take an extra care please popote ulipo pokea huu ujumbe japo...
10 Reactions
356 Replies
14K Views
Ayaa! sikukuu nyingine hiyo inakuja pasaka. PASAKA. YA MWAKA HUU WAMEKUJA KIVINGINE KABISA, WAREMBO PESA ZAO WAMEGEUZA MITAJI YA MADUKANI WAO NI KUJILIPUA ILI WABABA NA WAKAKA MKAZMIKE KWAO KWA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa aliyeko lonely aje hapa tupige story Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii forum
0 Reactions
66 Replies
4K Views
Mtoto aliamka mapema kuliko kawaida kwenda shule.baba kamuuliza mbona umewah sana? Mtto:nawah sambusa za mwalm. Baba:pumbavu mie niljua unawah kusoma kumbe unawaza sambusa Mtto: funguka baba elimu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
775 Views
mle mhola bayanda na banhamhala kinehe mle sele gete?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya majina yanayoanzia na herufi '' T '' sijui yana nuksi gani?? TIGO - Mtandao m'bovu kushinda yote duniani TFF - (Mpira wa miguu) Chama cha soka kilichojaa rushwa mpaka kero TANESCO - Hawa...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Cjui ni ushamba wangu au kutokutembea..! Eti ushawahi kumwona mwanajeshi Zeruzeru? (ALBINO). Mchana mwema
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Muda mfupi kabla ya Muya kuhudhuria ktk mwaliko, mama yake bhabra alilalamika mbele ya bhabra (mwenye miaka minne) kuwa hapendi kula na muya kwa kuwa muya anatafuna kama nguruwe. Baada ya muya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mweee nzuri, sijui katokea tanga? kweli Chimbuvu anafwaidi
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Mkuu, ulishasema hapa jf kuwa wewe ni "agnostic". Sasa naomba kuuliza, is it possible to be "agnostic christian"? If yes/no why? Wewe upo upande upi wa agnotism? Karibu sana. Kwa asiye...
3 Reactions
59 Replies
4K Views
Cheka unenepe; Mlevi alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo, Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala ------ wazi, chizi akaanza kuyashikashika huku akisema...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ukiwa unaongea uongo uwe unajipanga vya kutosha,.Jamaa mmoja alipata aibu ya mwaka baada ya kujifanya baharia akawambia watu aisee nimezunguka bandari zote dunian, kama china, afrika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shekhe alikuwa anakatiza mtaan,Punde akamwona mtoto mdogo yupo getin ameshindwa kubonyeza shwich ya kengele.Shekh kwa uruma ikabidi ambebe yule mtoto akabonyeza kengele.baada ya hapo akamwuliza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana na Vasco Da Gama kwenda mara kwa mara airport kukwea pipa katika safari zake za kihistoria, dogo mmoja mtaani kwetu ameshauri ikulu ijengwe Kipawa Source: Mimi mwenyewe nilikuwepo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom