Kwa mara nyingine ndugu zangu wana cc na JF kwa ujumla nafunguka kwa kusema kuwa mimi ni mwanaume mwenye furaha kuliko wanaume wote humu JF na Duniani kwa ujumla.
Kama yupo afunguke
cc...
Wadau japo kwa kifupi nimeona niwatiririshie news za udaku japo kiduchu kabla hazijapoa, Kwa hisani ya TANMO Bishanga na Elizabeth Dominic...
I. Siri ya sosoliso kusafiri kwenda Tanga ghafla...
Wana chit chat, taifa starz oyeee.. Eti kama si kuwa mwanadamu ungependa kuwa nan? Uwe 'ngazi' upandwe kila siku, uwe 'vocha' uwe unakwanguliwa, uwe ATM card uwe unaingizwa, uwe mti uwe unakatwa...
Insha...
Swali: Andika jinsi ya
kutayarisha hotuba.
(40 mrks)
Dogo bila kujua hotuba ni nini
alijibu
hivi...
Kwanza osha hotuba yako
vizuri halafu toa
maganda.
- Katakata hotuba yako.
-...
This is fascinating. Be sure to go all the way to the end.
1 x 8 + 1 = 9
12 x 8 + 2 = 98
123 x 8 + 3 = 987
1234 x 8 + 4 = 9876
12345 x 8 + 5 = 98765
123456 x 8 + 6 = 987654...
Jana mchana (19/01/2013) Wana JF tuliopo Tanga tulikutana na kujadili mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kuchagua uongozi.
Nitumie fursa hii kuwapongeza na kuwashukuru wote waliohudhuria kikao...
JINA HALISI: Philipo Augustino Mulugo
ELIMU: "FAILURE" Darasa la Saba, 1988
JINA FEKI: Hamimu Hassan
ELIMU: Darasa la Saba, 1989 (Baada ya kufeli mwaka 1988)
JI...NA FEKI: Hamimu Augustino...
Huu Ni Mwaka wa 3 sasa ndani ya JF huwaga Ban naisikia tu natamani na mm niipate siku moja.Mwenye uelewa anieleweshe ukipigwa Ban unaishije? Au nifanye kitu Gani na mm hiyo Ban niipate?
Tofaut ya Ukopaji Mzungu
na Mswahili.
Mzungu: Hi bro, I need
5,000 i wil pay u back on
Monday.
Mswahil: Kaka vipi, shwari?
Dah hatuonani mzee, vipi
mishemishe, mnatunyima
nini, juzi...
[MWANDISHI]:
muheshimiwa umaweza
kutuambia kwanini nchi
yako ni maskini?
[RAISI]: hata mi
nashangaa na sijui
kwanini nchi yangu ni
maskini.
[MWANDISHI]: je mh.
unaweza kutuambia
kwanini...
Jukwaa la wajanja.....
Anayebisha aseme..... hili ndilo jukwaa numero uno jf
Kopi: C.T.U na wahanga wenzio wa chuki (haters)
Mnaoichukia chit chat mwaka huu mtakula sumu ya panya
Na nnasema...
Msichana mmoja alimpeleka mchumba kwao kwa utambulisho: Alpofka 2 baba yake akaona kasoro maana kijana alikuwa mweuc tii. Anamatege makali, namakengeza ya maana. Mwanaume alipoona sura ya...
Mambo vipi wandugu.
Kuna wezi wamevunja duka na kuniibia vi2 ikiwa ni pamoja na pesa nyingi.
Mwenye kumjua MGANGA mzuri naomba anipe mawasiliano nae anisaidie pls. Pesa na mali nazitaji zirudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.