Najua jukwaa hli wapo wengi wanaoingia humu,mimi nipo kalangalala,Geita! Natafuta cmu ya kununua aina ya Nokia(X2)! Kama kuna mtu anauza,au umesikia fulani anauza,tafadhali naomba tuwasiliane kwa...
Mchaga kaanguka BENKI KUU watu wakamsaidi: mmoja akasema "MPENI MAJI MENGI" Mchaga akainuka kwa hasira akasema "acha ujinga wewe, ningetaka maji si ningeanguka DAWASCO?
maaambo umealikwa kwenye harusi wewe na mkeo saa ya kwenda ikafika mara kuchukua baiskeli ina pancha ikabidi uzibe ukamwambia mkeo atangulie mara mkeo njiani anaingia kichakani kukojoa unapofika...
Chtcht members nawapenda sana mjue?.
Kwa mintarafu hiyo iweje nipate mamistari ama maneno matamu somewhere, kisha niache ku'share nanyi ?
Haiyumkiniki !
Imezoeleka sana hapa Jf members kadhaa...
(KWA SAUTI YA KIHAYA)
PASAKA HII NITAKUWA DUBAI AMBAPO NIKO TOKEA MAJUZI SASA NATOA CHANCE KWA MEMBER WA JF MWANAMKE KUJA DUBAI KULA RAHA NA STAREHE NA MIMI
HOTELI NILIYOPO NI HILTON HOTEL...
Sharobaro alikuwa chumbani na shangingi,
shangingi akavua nguo zote na kuzitundika
kabatini, sharobaro akastuka kuona shangingi
yule ameweka bastola kitandani akauliza hii
nayo ya nini...
Habarini za jioni Mabibi na Mabwana wa humu ChitChat.
Kiafya mimi ni Mzima na ninaendelea vizuri sana sana.
Kwako Baba V,
Mwenyekiti wa Tume ya Mahusiano Humu CC.
YAH: KUOMBA KUTENGUA...
Napenda kuwatakia wanajamii wenzangu jioni njema,kabla sijaondoka napenda niwaachie neno"WEWE ATA UWE MBUNIFU KIASI GANI,HUWEZI PIGA PUNYETO KWA KUTUMIA SUPER GLUE".
Nikichoka huwa sipendi sana kelele ndo maana kuna muda nasikiliza empty CD! Na nikichoka sana nasoma plain papers, pia nalala huku nimesimama kuepuka kelele za godoro pale ninapo jigeuza, na...
Hi guyz!!
Hope you are all doing fine brodas and sisters.
Just wanted to know what does it take to be considered an active chit chat member?
I heared in hear eery lady has a boyfriend in here...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.