Safari ilikuwa bomba sana ila muda ulikuwa kiduchu nikaonana face to face na mwana JF mmoja maeneo ya maktaba kuna bustani nzuri saaaana.
Shukran zimwendee huyu mwana jf Mwanyasi akiwa mkanjuni...
S.L.P 488400 DSM 24/03/2013.Ndg,YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASSAKA Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni wa karibu na ni Mtanzania halisi.NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE YA...
........ Hivi hii tabia ya kuloweka mavazi ya ndani siku mbili mpaka tatu... ni sahihi???
...ninavyojua mie hizi nguo za sirini kila BINTI/MWANAMKE hanabudi zitakatisha pale awapo bafuni akioga...
Ukienda kula lunch on date na girl badae mkapumzike kwenye nyumba zetu zileeee, ukaagiza chips yai na soda then akakutext "ungeagiza ugali nyama choma, ushushie na maji ingekua poa sana my boy"...
A woman gets on a bus with her baby. The driver says: "Ugh, that's the ugliest baby I've ever seen."
The woman walks to the rear of the bus and sits down, fuming. She says to a man next to her...
Nimekutana na hili mahali, kwa lolote lile kipi rahisi? Kuomba ruhusa kufanya jambo? Au kufanya na kuja kuomba msamaha baadae?
We unapendelea lipi? Hasa kwenye mahusiano
upo wapi ww? Njoo hapa israeli PUB tupo na yuda ana mihela balaa! kasha muuza yesu,hapa ni nyama choma na mvinyo, si petro,luka,wala marko wote wapo chakariiii ile mbaya...!!!!! tumemtuma yakobo...
kama una anuani ya mwl Nyerere naomba umtumie hii barua yake:
dear mwl Nyerere, tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika, siku hizi mlima kilimanjaro uko Kenya
ziwa Nyasa liko malawi...
Chizi kapelekwa hospitali mambo yakawa hivi
Doka: unatatizo gani
Chizi: Nikilala huwa naota nyani wanacheza mpira!!!
Dokta: Itabidi nikupe dawa ili usiote tena
Chizi : Labda unipe kesho maana...
Binti aliyetoweka kijjni kwao arejea afta 10yrz;
Baba; We mtoto ulipotelea wap, unajua ulimtesa sana mama yako?
Bint: Nlikua nafanya kaz ya umalaya marekan.
Dngi; Mshenz mkubwa we, umetutia aibu...
S.L.P 2013 IRINGA
26/ 03/2013.
Ndg,
YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASAKA.
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndg yako wa karibu ni Mtanzania halisi.
NINAOMBA KUKARIBISHWA...
Duniani kuna watu wa ajabu yani huwezi amini leo kanisan nimekaa na jamaa 1 anavuta sigara kanisani bila woga! nilitetemeka nusura niangushe konyagi yangu!
Sent from my BlackBerry 9300 using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.