Jana baada ya kazi nikasogea maeneo fulani ili kuisindikiza jioni na kukwepa foleni za jiji la mafujo.
Nikiwa busy nakunywa huku nikiwaza kwa lugha za kigeni, mara akatokea msichana mlimbwende...
Tofaut ya Ukopaji Mzungu na Mswahili.
Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday.
Mswahil:
Kaka vp, shwari? Dah hatuonani mzee, vp mishe, mnatunyima nn, juz nimekuona kwa mbali...
Bubu ndani ya mahakama!alipoulizwa jina lake alijishika koo na sehemu zake nyeti,Hakimu akakasilika kwanini? bubu anatania mahakama.Ikabidi atafutwe mtaalamu wa lugha za mabubu akasema kuwa jina...
Dogo mmoja aliibiwa yebo yebo zake msikitini akawa analia kweli Shekhe akamwambia uslie ww muachie Mungu. Dogo akajibu hata Mungu azimtoshi maana ni ndogo sana.
Sent from my BlackBerry 9300...
Jamaa mmoja aliandoka jioni moja na kwenda ufukweni baada ya kufika ufukweni katulia akaja mzungu mmoja akamkuta katulia,mzungu kamuuliza jamaa are u rest?,jamaa kajibu no..mzungu kaondoka akaja...
Jamaa karudi toka job
mpole!
MKE: vipi leo mbona
mapema na mpole?
MUME: ofisi yetu imeungua
na watu wote wamekufa,
MKE: ilikuwaje wewe
ukapona?
MUME: nilikuwa chooni,
jirani na ofisi...
Marekani wanandoa wakiwa wanaenda kulala husema 'good night baby'
Uingereza 'sweet dreams honey'
Australia 'good night my love'
Tanzania 'umefunga milango na madirisha?dagaa umeweka vzr panya...
Inasemekana kutokana na wingiwao wameitana majina mpaka yameisha sasa wamekuwa kama wa china. mashamba,mchele,maliwa,mahalage,makonda,ndelema,mavuno,masanja,bojiko,mang'ombe,mbuli,makoye,madilisha...
Nakumbuka miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000 kulikuwa na majarida ambayo yalikuwa gumzo mtaani kila
yakitoka,majarida haya yalikuwa yakitoka mara moja kwa mwezi.
Kulikuwa na Sani -burudisho la...
Mwenyekiti Baba V..
Salamu sana ama baada ya salamu mie mzima kimwili ila kiroho nina majonzi sana..
Mwenyekiti Baba V.. kama unakumbuka niliaga siku niliosafiri kwa kuwa nilijua kuna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.