Hii ni story ya kweli wakuu.
Baba alishangaa alipomuona mwanae(anaefanya kazi ya baharia) anatembea mwendo wa kunesanesa/ wakigangee.
Baba: we Ema mbona unatembea hivyo?
Ema: unajua muda mwingi...
Hebu tukumbushane ni mbinu gani ya kuibia kwenye mtihani enzi zako ilitisha, mimi nakumbuka jamaa alichukua karatasi ya mwenzake ili aigilizie mwalimu akaja na akaganda bila kuondoka jamaa...
Napenda kuchukua nafasi hii kumkaribisha bibie sweetlady jukwaani.... tumetoka hospitali kufanya vipimo vya DNA(Vinasaba) na nimegundua kuwa mtoto aliyejifungua juzi sio wa nitonye ila bwana...
Happy birthday, Ronaldinho20 March 2013
Thursday marks the 33rd birthday of Brazilian legend Ronaldinho.
The attacking midfielder became a World Cup winner with Brazil at the 2002 World...
Hii ni kwa saudari.. Bujibuji.. Safari_ni_Safari.. manoah..
Niko kwenye basi la Shambalai naelekea Lushoto.. Ninaomba mumuangalie shemeji yenu Paloma na kuhakikisha hapati shida kipndi...
Mimi member mgeni kabisa nimeamua kujiunga na JF kwa sababu mbali mbali lengo ni kupata Habari na faraja kutoka kwa members wengine tafadhali ushilikiano wenu dhidi yangu unahitajika
Kwa niaba ya .............. ninasikitika kuwapa taarifa ya msiba wa mtoto wa Mjeda wa Leo Tupo Hapa Pub na Mtambuzi, aliyefariki leo alfajiri hospitalini alipolazwa kwa matibabu, kwa kuugua muda...
During an exam .. saudari was found under the
table, and the teacher.. Shouted
Saudari what are you doing under the
table? Saudari replied; sir! Question 2
said "study the table below and
answer...
Asiye jua kufa,achungulie kaburi;ndivyo wahenga walituasa!
BAN isikieni redioni tu,ila usiombe yakukute!
Baada ya takribani siku 17 za kusota jela,hatimaye nimefunguliwa{Kwa hisani ya MODS,Lol!}...
A pastor announced, "If you know your wife is controlling you, move to the left". All the men in the church moved to left except Akpos.
The pastor was amused and asked, "How come your wife can't...
Chizi mmoja kapelekwa hospitali.
Dr:Una tatizo gani?
Chizi: Nikilala hua naota nyani wanacheza mpira.
Dr:Itabidi nikupe dawa ili usiote tena.
Chizi:Labda unipe kesho maana leo ndio wanacheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.