Mwalim: Issa utaniambia leo huyo Asha unauhusiano gani naye?
Issa : Ah Asha mimi ni kama demu wangu tu kinaaa hapa shule ni mwanafunzi mwenzangu
mwalim; Eboo! wewe usililetee mambo ya kijinga...
Nilikuwa site pamoja na wafanyakazi wenzangu katika kampuni moja ya kichina inayojishughulisha na ujenzi wa barabara.
Siku hiyo kulikuwa na shughuli inayo involve cement kuchanganywa na...
Fundi majeneza alipata oda ya
Jeneza akawa anapeleka kwa gari
yake.Njiani gari
ikaharibika,akaamua kubeba
kichwani kumpelekea mteja wake
akakutana na askari wa4 wakiwa
doria,akajua lazima...
halo wadau wa JF, mi nilimaliza CBE advance diploma of accounting, nina Gpa ya lower second, nimefanya application kadhaa lkn bado sijapata kazi, nifanyaje ili nipate kazi? Kama application...
Nimejaribu kuona mlolongo wa vituko hapa JF na hasa CC na mambo yanavyoendelea naona mimi nitakuwa naenda LEO TUPO HAPA PUB!!Kama mteja nasiyo tena kama mwana CC kama tulivyokuwa tumezoea!naomba...
WATU WA MJINI WANASEMA
UKIJUA HUU WENYEWE WANAJUU
HUKU.SOMA HII
Mume flani kamuaga mkewe
kuwa anaenda semina
Uganda kwa wiki nzima, kumbe
kahamia
kwa demu flani nyumba ya pili
toka kwake...
An Airline Introduced A Special Package For Business Men. Buy Ur Ticket Get Ur Wife's Ticket Free. After Great Success, The Company Sent Letters To All The Wives Asking How Was The Trip.
All Of...
Simu yako ni ya Kichina iwapo.......
1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina Tv, torch.
3. Unaweza kuandika Msg kwa tooth pick 4.Kuna matatizo ya kimaandishi yanayoitambulisha kwa mfano...
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara...
There are three bulbs in a room and three switches outside. U are asked to match the switches with the bulb they control. Note that u can only enter the room once. How will u match them?
Weekend umekaaje wanaCC ... mamboz....
Yaani tangu nimetoka kwa my hezbend C6 naenjoy maisha ya nyumbani.... Kula kulala rahajeeeeeee.... Kha kumbe nilikuwa nabanwa lol!!!!! Sitamani tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.