mama mmoja wa kihaya alidu na msukuma msukuma akawa hajui kupiga katelelo akaingia moja kwa moja kamailivyo kawaidayetu manguvu kwa sana, mhaya akashitukia mzeekipara amesha zama mhaya akaluka...
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi kwenye ZOO. Akaambiwa nafasi ya kazi ipo ila hakuna sokwe" hivyo utajifanya sokwe na tutakupa ngozi ya sokwe utavaa" Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja...
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi kwenye ZOO.
Akaambiwa nafasi ya kazi ipo ila hakuna sokwe.
"Hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"
Jamaa siku ya kwanza akavaa,
walipokuja Watalii mambo...
David beckamp kipindi hicho akiwa mchezaji wa man u aliingia supermaket moja huko london na akaamuru milango yote ifungwe na watu waliopo ndani wachague vitu beckmp atawalipia na waliopo nje...
Nimekukumbuka sana mpenzi mara ya mwisho niliku-pm miezi kadhaa iliyopita.Msg yako moja tu ilinipa raha ya ajabu.Kama upo naomba tujisosomole hapa uwanjani.
MUNGU akulinde LEO na KESHO,Upendwe kama NYERERE,uishi maisha marefu kama bi kidude,usipoteze umaarufu kama Mandela,uwe jasiri kama Z.kabwe, upate safari nyingi kama Kikwete, usiwe na hila kama...
Wanajf mnaoishi USA naomba maoni yenu.
Mie nipo TZ ila mke wangu anaishi US na nimefanikiwa viza ili nije nimjoin . Tatizo ni kuwa nimepata kazi ya prof bongo na nategemea mshahara wa kama...
A huge muscular man walks into a bar and orders a beer. The bartender hands him the beer and says, "You know, I'm not gay but I want to compliment you on your physique, it really is phenomenal...
Hatimae nimetimiza ahadi ile nilioitoa kwako mpenzi Paloma.. Nimeamua kukunulia Land Rover Freelander short chasis..
Najua hapa kati zimetokea stori nyingi ati oh mara nimewakuta kwenye mtaro...
jamani,najua great thinkers wengi mmeishi maeneo mbali mbali na mikoa tofauti tofauti,sasa ebu tuambizane ni mkoa gani unaongoza kwa kunywa pombe za KIENYEJI na INAITWAJE?? mimi binafsi naona MKOA...
(Joni) dogo wa darasa la kwanza kafika shule akaanza kulalamika kwa mwalimu wake wa darasa kwamba la kwanza si saizi yake na anataka arushwe hadi darasa la tatu kwa maana anaamini ana akili...
Kwa yeyote atakaye guswa na hili tunahitaji mchango wake wa hali na mali,Mimi ni mfugaji wa Nyani,lakini kwa bahati mbaya Mama yake nyani ninye Mfuga amefariki usiku huu,so tunaomba mchango wenu...
Ndani ya meli,wa2 makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele,
Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele"...
Vichaa walikuwa wanahamishwa hosptl 1 had nyingine kwa usafir wa ndege mazungumzo kat ya ruban na kichaa 1
KICHAA :naomba niendeshe
RUBAN: huwez we c unaumwa
KICHAA: nimepona
RUBAN: nakupa kaz...
Katika kata moja huko mbeya, diwani mmoja aliitisha mkutano kwaajil ya kuchangishana pesa ili kujenga ukuta wa makaburi sasa diwan akatoa wazo kuwa kila mwananch atoe sh15000 sasa akauliza je kuna...
MISEMO YA USWAHILINI KWETU
HUKU....
Lakini tambua yakuwa.......
1.hata uwe shabiki wa Diamond
kias gani huwezi kukubali kuwa na
Domo kama Lake...
2. Ushuzi ndio Gesi original ya
Mtwara...
Habari wana JF.
Nimeamua kukupa faida katika matumizi yako ya JF jokes. Hizi ni namba unazoweza kupiga na utaona faida baada ya kupokelewa.
*141*1000*0773965788#
*141*1500*0777430009#...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.