JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dear God! Greetings from Tanzania! And how is Nyerere and his comrade Kawawa, if at all they managed to enter your eternal kingdom! Tell them that the country once they led is in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
katika hali ya kutatanisha kuna jamaa yangu anasimulia jinsi alivyotembelewa na wageni (Marafiki) wake wawili kwa nyakati tofautitofauti, jamaa wakajiandalia maji ya kuoga (coz jamaa yangu anakaa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Umenisoma.:rockon:
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo. Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema ' Unadhani familia yako ina matatizo?' Basi...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa mala nyingi tena Baba V ndani ya Guantamo
1 Reactions
130 Replies
6K Views
MCHAGA NA MBINGUNI WAPI NA WAPI? Mchaga alipokufa aliulizwa na MALAIKA: "kushoto kwako ni peponi, kulia ni Jehanam. ungependa uende wapi?" MCHAGA: Nitabaki katikati ya pepo na Jehanam MALAIKA...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ogopa Masihara kama haya. KunaJamaa alitaka kumuumiza Mpenzi wake kwa Masihara! Kwa kuwa wako mbali, akamwandikia sms mpenzi wake, "Nimepata Mpenzi mwingine, ww sikutaki tena! Kwahiyo nirudishie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ndivyo mwanafunz wa form 4 2012 alivyojibu kwenye pepa ya Kiswahili! Swali:Eleza hatua za kuandaa MDAHALO. Mwanafunz akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi......1.Unauchukua mdahalo...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Siku moja ya ibada kanisani askofu alipitisha mchango kwa ajiri ya ujenzi wa kanisa waumini walichanga sh 35,000 tu, ghafla wakaingia majambazi wakaliteka kanisa na kuamuru kilammoja atoe...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Nipe jibu sahihi pasipo kuleta utata kwenye jibu lako! Mfano: Mimi nakupenda, nawe wanipenda. Hivyo basi mi nawe TUNAPENDANA. Mimi ninakuheshimu, nawe waniheshimu. Hivyo basi mi nawe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wazo la leo: Kujenga ukweni ni sawa sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara (Road reserve)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za saa hiizi wanajamvi!! Utafiti nilioufanya kwa kina nimegundua yakua hapa JF hakuna mapenzi ya kweli ni kuzinguana tu bure yani muna taftana munapatana hapahapa JF munatongozana humuhumu...
6 Reactions
78 Replies
4K Views
.... Baada ya maongezi ya muda mrefu kati ya mtangazaji wa RTD na Mgonjwa ktk kipindi cha wagonjwa mahospitalini. Ndipo mgonjwa akapewa nafasi ya kutuma salamu.... Mgonjwa: Kwanza kabisa natuma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
....Rejea kichwa cha Title hapo juu. Natafuta mchumba ambaye hapo badae anaweza kuwa mzazi mwenzangu. Sifa ni kama zifuatazo. Awe mweusi Tii Awe mnene saaana Awe anapiga pamba za marinda Awe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
A young mosquito went out flying for the first time in its life. When it come back, the father asked, how was it out there and how did you feel? The young mosquito replied,it was great...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
happy birthday to me*2 happy birthday dear Purple happy birthday to me
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Tangazo la nafasi ya kwenda Milani Italy for Holiday mwishono mwa robo ya tatu ya mwaka 2013 Sifa Za Mwombaji Awe mrembo mwenye sura ya kuvutia umbo namba 8, kiasi kwamba akipita mtaani watu...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
This week NBC brought good news Naruto Shippuden Episode 303 This week NBC brought good news for fans of their new shows, when they gave full season orders to Revolution, Go On and The New...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Kuna maneno mengine tunayatumia kila kukicha bila kujua maana halisi..! Mf;.mtu akiwa na furaha hutabasam na kucheka..na mtu akicheka huashiria furaha...$o ipi tofauti ya kucheka na kufurahi.!?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ulikuwa siku ya furaha kumaliza shule, mgeni rasmi alikuwa waziri wa jamii. Sasa ukafika Wakati wa kuimba kwaya, Wimbo ulikuwa Kama ifuatavyo Muongoza kwaya :Wanawake munapenda nini? Waitikiaji...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom