Samahi lakin!Nasikia eti Simba watoto wa msimbazi wamekata Rufaa CAF kwa sababu LIBOLO hawakuvaa" dawa ya penzi"
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jamaa alikuwa safarini, gari likamharibikia kijijini akaomba hifadhi akakaribishwa,
baada ya kuoga na kula.
MZEE:"sasa huyu mgen sijui alale wap?"
MKE:"saa hz ni usiku akalale na Bebi."...
Wavuta bangi wa2 walikuwa wanavuta bangi chini ya mwembe.Walivyomaliza kuvuta wakataka kuondoka,mmja wao akaona embe lililoiva juu ya mwembe akamwambia mwenzake;-kuna embe limeiva juu ya...
hapa mtaani kwetu kuna kiroja kimetokea
usiku wa kiuamkia leo. Jamaa wana
kikundi chao cha kupiga chabo, kazi yao ni
kuzunguka kwenye magesti na kuangalia
watu wakipekenyuana.
Sasa kuna gesti...
Katika moja ya Swali la Kiswali Lilikuwa hivi "Andika njia za kufuata wakati wa Kuandaa MDAHALO!"..mwanafunzi mmoja akiwa hajui nini maana ya Mdahalo, majibu yake yalikuwa hivi...........1.Kwanza...
mwandishi: muheshimiwa umaweza kutuambia kwanini nchi yako ni maskini?
rahisi: hata mimh nashangaa na sijuh kwanini nchi yangu ni maskini.
mwandishi: je mh. unaweza kutuambia kwanini vijana wa...
Mama mdaku alishangaa kila siku
mchungaji wa kanisa lao anaingia
nyumbani kwa jirani ambaye hana
mume, akawa anajiuliza anaenda
kufanya nini anakosa jibu. Mwisho
Uzalendo ukamshinda akaamua...
Hahahaha...Muhaya is attacked
by a
robber,"Toa pochi " Muganyizi
shouts back "we ---- huwezi
nipigia
kelele nikiwa kwenye Prado na nimevaa rolex na gold kadhaaa
atakama wewe Kichaa....bwana...
Mzungu alifiwa na mbwa wake akampeleka kanisani ili asaliwe, Padri akamkaripia kwa ukali hatusalii mbwa hapa! mzungu akauliza ni kanisa gani wanasalia maana nina sadaka ya milion tano kwa padri...
Kunamuhindi moja alivamiwa na majambazi yaliyokuwa na mapanga na walipoanza kubomoa mlango muhindi haraka akaweka ngazi na kumpandisha mke wake darini ambako ilikuwa juu sana. Kisha akapanda na...
Simu yako ni ya kichina iwapo.......
1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina Tv,microwave,torch,kikata kucha,mswaki,kiberiti cha sigara
3. Unaweza andika Msg kwa tooth pick
4.kuna...
A VERY SMART PERSON WILL GET THIS
A man wanted to enter a CLUB.
Every member knew the password.
So, the man hide beside the wall & tried to listen to the password.
A member came, watchman...
TYPES OF SALARY,
1. Onion Salary - You grab it, you open it, and you cry
2. Storm Salary - You don't know when it's coming or going
3. Menstrual Salary - It comes once a month and lasts only...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.