Both given and received, nadhani kuna watu wangekuwa matajiri wakubwa na wale mabahili wa ku like naamini wangekuwa maskini wa kutupwa...
wataje unaowajua. Naanza mimi
1. Mamndenyi angekuwa...
Wadau mwandishi wenu wa kujitegemea chini ya uhariri wa Bishanga na TANMO natiririka kama ifuatavyo,,
1. Siri ya Evelyn Salt kuhamia singida yagundulika, fumanizi latajwa, Slave aweka mambo...
Hallo wana chitchat mi ni mgeni hapa chitchat ila nimevutiwa sana na comments zenu na jinsi mnavyoenjoy pamoja ,nikaona mi pia nijunge nanyi tafadhalini naomba mnipokeeni.
:A S-heart-2::A...
Jaman ni majukumu tuuu...
Wale wa Arusha mnisamehe sijawaoona kabisaaa...
Ni majukumu ndio yamenifanya hivi...
Niko safarini ndani ya basi la...
Nawarudia akina Madame B. N.k.
Naombeni m
Habari zenu wapendwa, binafsi nalazimika kuliandika hili hapa jamvini kwa sababu naliona halijakaa sawa na naamini wapo wengi tu wenye mtazamo kama wangu, kwa kuwa hapa ni chit chat naona ni vema...
Sir.Alex Ferguson ameitisha maandamano makubwa ya dunia nzima kwa mashabiki wa Man United kwa kupinga matokeo ya uefa dhidi ya Real Madrid The Galacticos yatakayofanyika kuanzia Mtwara Hadi...
Heshima yenu wakubwa...
Jaman ni majukumu tuuu...
Wale wa Arusha mnisamehe sijawaoona kabisaaa...
Ni majukumu ndio yamenifanya hivi...
Niko safarini ndani ya basi la...
Nawarudia akina Madame...
Eti Samahan lakini!Nasikia simba vijana wa Msimbazi wamekata rufaa CAF kwa sababu Libolo hawAkuvaa dawa ya penzi?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jamaa kakamatwa kwa kosa la wizi wa mamilioni ya vijisenti akahukumiwa kwenda jela akafungwa. Baada ya miezi miwili baba yake akamuandikia barua kwenda gerezani, jamaa akaipokea: "Mpendwa...
Kwakweli nimewamiss sana wana Cc wote...Hali ilikuwa ngumu sana kifungoni lakini Inshallah leo nimekuwa huru....(Siasani kule hakufai)
Copy to All Chit Chat Members...
Katika kipindi hiki Kuna baadhi ya misemo uwa inatajwa katika kipindi hichi kama SANDA HAINA MIFUKO, KIPOFU ACHUNGULII, TUPIA MISEMO MINGINE ULIYOSIKIA.
Je kitu gani ungependa kiwepo katika katiba
mpya? sikiliza maoni
DEREVE: Traffic wasiwepo barabarani
MWANAFUNZI: Hesabu zifutwe mashuleni
WAFANYABIASHARA: TRA itaifishwe.
WA MBAGALA NA GONGO...
Wasalamu,
Sitaaweza kuandika/kusema mengi,kwa sababu ya miundo mbinu inayoniwezesha kunipandirha jf kuwa na uwezo mdogo.
Niwaombe radhi wana jf wote na hasa wana-chitchat wote,NAOMBENI...
Habari yako?. hujambo?Kichwa cha habari kinakuhusu tena sana tu.Njoo tubadilishane mawazo.Mimi mawazo yangu ni yakua tajiri mkubwa mwenye marafiki wengi. Wewe mawazo yako ni yapi?. njoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.