MAN(SHARO) IN A MINI BUS WANTED TO IMPRESS FELLOW PASSENGERS WITH HIS PROPOSAL ANTICS, SO HE CHOSE THIS QUIET BEAUTIFUL LADY TWO SEATS BEHIND HIM FOR A TARGET.
MAN: Hi there Gorgeous, I bet...
Mlevi mmja aliingia bar akasema kwa sauti mhudumu nipe bia na mpe kila mtu bia yake maana nikinywa bia napenda kila mtu anywe yake.~~watu wote;oyeeeeeeh!.wakapewa. mlevi akasema tena;mhudumu...
Hii ni baada ya Libolo kuitupia Simba 4 sasa inaenda kukutana na Chipumbu nani atakua mkali zaidi ya mwenzake.
Copy: Mashabiki wote wa Simba walio henyeshwa na Liboloooo...!!
NINA NIA YA DHATI KABISA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2015.
Mambo nitakayowafanyia
1.Nitawachekea chekea ili mnipigie makofi
2.Kila mazishi nitahudhiria
3.Nitapiga picha...
Bibi mmoja wa Kimakonde alienda hospitali akiwa anasumbuliwa na tumbo. Baada ya kumweleza daktari jinsi alivyojisikia kuumwa, daktari alimweleza bibi huyo kuwa dalili zote zinaonesha alikuwa...
Miongoni mwa ndugu, jamaa na marafiki wanaoishi mbali mbali yupo ambaye analazimika kuwajulia wenzake hali au yeyote anaweza kumjulia hali mwingine?
Nahitaji kujuzwa maana wapo wanaoona kuwa...
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wapendwa wanajamvi wenzangu, Kwa upande wangu niko poa japo ninasumbuliwa na ukurutu kidogo nilioambukizwa huko lupango ambako kwa sasa nimepewa hadi chumba...
J3 Bendera ya taifa itapepea nusu mlingoti, kutokana na msiba wa watu 246,000 waliokuwa wakitokea Form Four kwenda Form five kwa kutumia meli ya MV NECTA wamezama ktk ziwa Zero karibu na maeneo ya...
Simba mambo sio mazuri, Arsenal tunapumilia machine, Barcelona tumekua wakupigwa tu, Shark 04 dah! Hata sisemi..
Huku itali Inter milan nao hawa aminiki,
aah!
Cheka na madenge.
Mwalim Madenge tokea uanze kusoma jografia, ni maziwa gan makubwa unayoyajuwa? Madenge: Nayajuwa ya Khadija Yusuph na Aisha Mashauz! jioni njema!
Kuna mtoto alikuwa anavuta sana Bangi, siku moja Baba yake kamfuma.Akamwambia kwa ukali mwanangu Nakupa radhi, yaani nakuvulia nguo,
Nae mtoto akajibu
We we we weee..
YAAANI MZEE UKIVUA TU NGUO...
Kua na msimamo, kama hutaki kuniachia papuchi ludisha vogue na pangani zonda cinque roadster Pagani Zonda Cinque Roadster
Pagani Zonda Cinque Roadster
.
Nyumba ya masaki unaweza pangisha...
Habari zenyu binafsi.....
Hivi ukipewa nafasi ya kujipiga BAN ya muda kwa majukwaa matatu (3) utachagua majukwaa gani??
Mie hapa
1. Jukwaa la wakubwa.
- Sababu huwa linanitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.