JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Eleza kwa maneno yako, what is life?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jamani me nilikuwa napita2 nawatakia cku njema!!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Muarabu mmoja anaeitwa FARAJA alikuwa mbabe sana katika mtaa aliokuwa akiishi.Watu wote pale mtaani walikuwa wanamuogopa.Yaani hakawii kutoa kichapo kwa yeyote yule atakaye gombana naye.Siku moja...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Two women meet in the afterlife. Following is the conversation they had. 1st woman: Hi! My name is Wanda. 2nd woman: Hi! I'm Sylvia. How'd you die? 1st woman: I froze to death. 2nd woman: How...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mume: Mimi ninakushangaa sana mke wangu; kila mara unasema ooooh gari yangu, mara watoto wangu, mara chumbani kwangu n.k. "Nimeshakwambia wewe na mimi ni mke na mume; kwa hiyo unatakiwa kusema...
14 Reactions
26 Replies
5K Views
Mke alimpa mmewe radio aende nayo chooni ili asiboreke. ALIPOTOKA Mke; vipi ume enjoy? Mume: Wajinga sana! Waliweka wimbo wa taifa,nimekunya huku nimesimama :
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Mbwa koko wawili walikuwa wanasaka chakula kwenye jalala, mara ikapita Land Rover ya FFU na ndani yake kuna mbwa wa polisi; Mbwa koko mmoja akaangalia kwa uchungu kisha akamwambia mwenzie, '...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Wadau wa Archuga heshma yenu, Niko njian nakuja Arusha ntakuwa huko kwa mda kidogo kwa wale watakaopata nafasi si vibaya tukafahamiana na kubadilishana mawili matatu Arusha si mgeni ila nikipata...
5 Reactions
115 Replies
6K Views
Babaake na suma lee mzee lee amekuja Tanzania leo jioni kutoka china. Mzee lee anawatoto wengine maarufu kama Jeti Lee, Bab Lee, ona umeanza ubishi wako
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Nikumbusheni wapendwa,uzee unanijia kwa kasi siku hizi, memory card inachezacheza
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hebu fikiria umeamka asubuhi, kisha hakuna hata maji ya kuoga unaamua kwenda kuchota maji ya kisima karibu na home ili uoge fasta fasta uwahi kazini. Unafika kisimani unakuta kumbe mtoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa ni pa jo kes au ku na ki tu ki ng i ne Wa gu mu ha di uki kaa ka ri bu na lap top ina and ika newd hardware found
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Mapemaaa Ibada ya kwanza C.A.G Sombetini Arusha!Embu niambie na wewe waingiaga Ibada kwa kanisa gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mramba: Mimi ndo kiboko ya watanzania, yani nilinunua ndege mbovu na rada mbovu kwa bei za juu na waliponiuliza nikawaambia kuleni nyasi. Ngereja: Aaa wewe Mramba kweli kichekesho, yani watu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
pengine Erickb52 angekuwa timbulo Kipipi angekuwa lulu afu MziziMkavu tuassume mpoki hvi...si eti?
11 Reactions
173 Replies
12K Views
Mchaga mmoja alienda baa na marafiki zake kunywa pombe. Baada ya kumaliza starehe zao bili ikaletwa ikionyesha kila mmoja kanywa kama ifuatavyo: Manka sh35,000 Marieta...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanaume wakiwa kwenye semina wakaulizwa, mara ya mwisho kumwambia mke kuwa wampenda ni lini? wengine wakasema leo asb, wengine muda sio mrefu. Mwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uchunguzi wa haraka haraka umeonyesha kabila la Wanyakyusa sio tu lina majina yenye mwanzo wa Mwa..., Mwa.. . Imethibitika pia kuwa kwao kila jina linaloanzia na herufi 'A' linaishia na herufi...
0 Reactions
69 Replies
17K Views
Kama tulivyokubaliana wadau basi ndo tumefika eneo la tukio na wadau waliokwishafika ni Remmy Mtambuzi Asprin Madame B updates: Mkuu Vin Diesel naye yumo ndani...
6 Reactions
515 Replies
21K Views
Umeamka zako asubuh ukaenda choon sasa wakat unaingia choon ukakutana na mpangaji mwenzio anatoka choon sasa na wew ulipoingia unakuta mshikaj amekata gogo ameshusha mzigo si wakitot na kuchafua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom