JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna dogo mmoja alikuwa ametoka kwa bibi yake dar anarudi kwao mbeya. Walipofika mto ruvu akamuuliza konda tumefika mikubi konda akasema bado. Walipofika chalinze akauliza tena tumefika mikumi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo...
6 Reactions
171 Replies
10K Views
Yaani sijui SIMBA wameikosea nini CAF.......yaani dah.....kumbe akifanikiwa kuitoa LIBOLO huko Angola.... hatua inayofuata anakutana na timu inayoitwa FERVIALO CHIPUMBU ya MSUMBIJI...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NAFASI YA KAZI ......... Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa? 1.Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi. 2.Mda wa kazi kuingia saa tatu asubuhihadi saa tisa jioni. 3.Allowance 300,000/= kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Muhaya is attacked by a robberin his silver prado.. Robber shouts, "Toa Pochi!!" Muganyizi shouts back, "We ----, huwezi nipigia kelele nikiwa kwenye prado na nimevaa rolex na cheni ya gold...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilipokua mdogo nilikua naskia misemo iliyokua ikitumiwa na wahenga katika jamii na pia ilikua na maana zake..mfanomkono wa kulia ukiwasha......utatoa kitu/hela,Mkono wa kushoto...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Konda akiwa usingizini akaota mteja kagoma kumlipa nauli. Wakabishana na hatimae mteja akachoropoka katika daladala na kuanza kukimbia, konda akaamua kumfukuza, mteja ambae akaingia kwenye shimo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wapendwa wa CC! Baada kimya kichache nimerudi tena kwenye uwanja huu maridhawa! Niliwamisi mno!
1 Reactions
11 Replies
997 Views
Husband on phone: Doctor my wife is pergnant.She is having pain right now. Doctor: Is this her first child? Santa: No this is her husband speaking…
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani nilikuwa nawaza hivi kama kuna antivirus basi pia kuna uwezekano akawepo ankovirus, fadhavirusi, madhavirusi................ nisaidieni kuwakumbuka wengine.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadauwenza! Nauliza hivi hili neno "KAMA NINI" Lina maana gani ? Utasikia ; > Tamu kama nini! > Chungu kama nini ! > Kali kama nini ! > Mkarimu kama nini ! > Jeuri kama nini ! > M'bishi...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
wakuu hivi mbagala RANGI TATU ni rangi ipi na ipi embu nifamisheni???
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alienda kufanya kazi kama house boy. Kwa mara ya kwanza alikutana na mama mwenye nyuma akamuuliza jina lake akamwambia naitwa mume wangu, alipokutana na binti wa mama mwenye nyumba...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
ikiwa wiki inaelekea ukingoni nnaomba kwa heshima na taadhima nitambue maneno yaliyoshika kasi wiki hii, ni LIBOLO na ZOMBIE, akaaa mie sitaki stress weka na wewe ya kwako.....
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Nyumbani kwetu tupo wengi hadi nyumba ye2 ina roundabout!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mlevi mmoja alitangaza baa kuwa ana wasiwasi kua yeye ni mungu. Akaulizwa kwanini??? Mlevi: sababu nikifika mtaani kwangu nasikia watu wanasema "mungu wangu amelewa tena...!!" Nikifika...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mkulima m1 mchamungu alikuwa anatoka shambani ghafla akakutana na simba kwavile gakuweza kukimbia alipiga magoti akafumba macho kumuomba msaada mungu simba asimle ile anafumbua macho anamuona...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi ndivyo mwanafunz wa form four 2012 alivyojibu kwenye pepa ya Kiswahili! Swali:Eleza hatua za kuandaa MDAHALO. Mwanafunz akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi... 1.Unauchukua mdahalo wako...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna Babu mmoja Kijijini kwetu kila mwaka analeta fuja na hashtakiwi Anawadanganya wototo wa kiume wampelekee maji porini Wakishafika anawakamata na kuwapiga kasha anawakatakata kwa kisu hadi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom