Mlevi mmoja aliingia kwenye matatu nakukaa siti ya mbele, akaweka begilake kwenye siti kulia kwake kishaakalala.Baada ya muda akaingia mlevimwingine akatoa lile begi, akaketiyeye...naye...
Kila mtanzania anafatilia siasa ya kenya na unakuta anamjua kila mgombea wa kenya, swali ni je? wakenya nao huwa wanafatilia siasa zetu na kuwajua viongoz wetu???
nipo some where, napumzika kidogo baada ya mihangaiko ya siku, napata soda ila kaja mdada ni mhudumu hapa ama kweli uzuri wa mtu upo machoni pa mtu jamani huyu dada kaumbika, kaumbika she is sex...
UROHO M-BAYA...Mwizi alibomoa nyumba akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye kibakuli vilivyokauka,akaonja kimoja akaona ni kitamu kina chumvi chumvi! Akafurahi akakaa chini akala vyote...
Question to Men around Here,unapata Chili ana dem tajiri lakini Hataki kumuomba Msaada anapokua na tatizo hivyo huyo mwanaume anakupenda kweli Au Ndio kusema anaogopa kujishushia hadhi Hebu nisaidieni
Kwa mara ya kwanza nimeota nipo US nasoma. Nikapata mtoto mkaliiii black american. Ile naanza kuota kuanzisha biashara, usingizi unakatika. Muda wa job umefika.
Ndoto hii ina maana gan?
Mwanafunzi wa darasa la pili alimuuliza mwalimu wake: hivi ukichanganya OMO na FOMA zitatoa POVU?. Mwalimu
akajibu kwa hasira: swali gani hilo la KIPUUZI? Lazima zitatoa POVU kwa sababu zote ni...
Jamani hapa ninapoandika ujumbe huu niko njiani nikielekea airport kupanda fastjet. Naomba mliowahi fly na hili pipa niambieni nitarajie nini.
Angalizo :
Sio mara yangu ya kwanza kukwea pipa...
katika daladala kitoto cha nursery kikawa kinaimba..: "Baba angekuwa jogoo,na Mama kuku,mm ningekuwa Kifaranga"... Abiria wote kimya..! Kikaendelea tena kuimba..:"Baba angekuwa Beberu, na Mama...
Leo nikiwa nataza ITV Taharifa ya habari ya 6:00pm mwisho wakaanza tangaza watu waliopotea. Wakwanza mpaka wa mwisho wote ni mabinti tu kati ya umri wa miaka 17-24 na mmoja akionesha kuwa kama...
Nazungumzia huku ambako huwa tunasuswa na viongozi wetu
hapa nyumba mdele bar nyma ya nyumba kuna mateja wanafanya yao
kushoto taro la maji machafu limepta
kulia ukpga mswaki mate uwanja wa...
Mwizi alibomoa nyumba akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye kibakuli vilivyokauka,akaonja kimoja akaona ni kitamu kina chumvi chumvi! Akafurahi akakaa chini akala vyote alipomaliza akaangalia...
Hii menu nimeikuta kwenye mgahawa nilioenda kula leo
MENU
1. Piza ya utumbo wa kuku
2. Baga ya miguu ya kuku
3. Piza ya mapupu
4. Pasta ya makongolo.
Hii ndio spesho menu ya mchana huu
Binafsi naipenda sana JF,maana nimeichukulia kama sehemu yangu ya kupunguzia stress.
Ila kuna baadhi ya I'D ambazo nahisi wahusika wake wanalandana na I'd zao kitabia.
Binafsi kuna members ambao...
This wariah (Somali) man walks into a gun shop and asks to buy a gun.
The gun shop owner asks, "What for?" He says, "To shoot some cans." So he walks away with the gun with some few ammunition...
Little Johnny : Im gonna tell you a story with 4 parts. Remember that, 4parts!
KR : Alright..
Little Johnny : Okay, Im gonna start with part 1.
There was a husband and a wife, they were...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.