Jua limechomoza na miale yake ya rangi ya dhahabu imetawanyika katika uso wa dunia ikirutubisha mimea,wanyama,binaadamu na vilivyomo.pia rangi nzuri ya kijani iliyotapakaa kila pembe ya tanzania...
Wakuu kuna misemo mingi ya kufurahisha sana hasa ktk mitandao ya kijamii, mfano
Kula bata mpaka kuku aone wivu.
Weka misemo uliyowahi kuisikia na ukapata kuifurahia
How do u score on this, gentleman?
One Day, Apostle Dr Pastor was with his men's congregation in his church
and he asked them:
Major Apostle: Can those with wives rise up their hands...
...My nimepita pita humu humu ndani na kusikia sikia maneno maneno je ni ya kweli....Maana sipendi kuwapa watu gharama ya kukarabati viungo vya miili yao...hakuna...
Nami nimejikomboa.sasa jf nitakuwa online 24 hrs kama vp ni add whatsapp. Namba yangu ile ile. Wale wa f'b ongezeni spidi ku LiKe page yangu kazi ndo imeanza.
Dogo mmoja alikua anacheza na madogo wenzie jirani na kanisa.
Mara baada ya michezo yao ya kitoto kuisha akaanza kutafuta ndala zake ambazo alikua hakumbuki kaziweka wapi?
Punde kidogo akatokea...
Wakuu,
wana cc wote na wanajf kwa ujumla! nawataarifu kuwa mwenzetu mmoja kwa jina MMAHE ni mgonjwa,
anasumbuliwa na malaria..
Dua zenu ni muhimu sana ili afya yake iimarike.
Pole sana.
Cc...
Bujibuji was baptized and dipped in
water 3 times. At the 3rd time the Pastor Sikonge said:
"You are now baptized,
you are a new creation. The old one is
gone, no more drinking of alcohol for
you...
Hivi ndivyo mwanafunzi wa form 4 2012 alivyojibu kwenye pepa ya Kiswahili!
Swali:Eleza hatua za kuandaa MDAHALO.
Mwanafunz akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi.
1.Unauchukua mdahalo...
Mshikaji baada ya kupigwa sana kalenda na mrembo. Siku alipokutana na mrembo tena kwa sauti ya kubwmbeleza akaomba atiliwe japo mkojo kwenye kifuu
Mrembo akamwambia, kama ni fantasy yako poa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.