Mzee mmoja alipanda kwenye daladala lilikuwa limejaa, hivyo akalazimika kusima. Wakati safari ikiendelea, akagundua kuwa amechomolewa fedha zake. Hali ilikuwa hivi:
MZEE: Jamani alienichukulia...
(Joni) dogo wa darasa la
kwanza kafika shule
akaanza kulalamika kwa
mwalimu wake wa darasa
kwamba la kwanza si saizi
yake na anataka arushwe hadi darasa la tatu kwa
maana anaamini ana akili...
JOB VACANCY..
Je, unatafuta ajira nzuri
inayolipa?
1.Mshahara Tsh 600,000/
= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa
8.30 asubuhi
hadi saa 4 jioni.
3.Allowance 300,000/=
kwa mwezi.
4.Siku...
Basi kuna jamaa mmoja alitaka kujiua.kisa kila alipokuwa akifanya kazi kidogo tu anafukuzwa.rafiki take akamshauri aende jeshini,jamaa akasema nitaweza kweli .rafiki akasisitiza aende,basi jamaa...
Miaka kadhaa iliyo pita,Mungu mwenyezi alinipa neema ya kuzaliwa hapa duniani.
Nachukua fursa hii:
1/Kumshukuru sana Mungu aliye nilinda na kunipigania kwa miaka hii yote.
2/Kuwashukuru...
Jamaaa baada ya shughuli za kutwa kaingia mahala akiwa na mpenzi wake wapete mbili tatu. Jamaa kamwita mhudumu na kwa kuwa hakuwa akijisikia kunywa akaamua atacheza pool tu.Mambo yakawa hivi...
Wana wa Bodi na wadauwenza.
Mara kadhaa nasikia matangazo through media zetu , kama headin yangu inavyosoma.
Kattu na kamwe sijasikiaga "wanaume bure wanawake Tsh kadhaa!"
Sitaki kabisa...
Mtoto katoka shule huku akilia, alipofika nyumbani, baba yake alishangazwa na hali hiyo na mazungumzo yanayalikuwa hivi:
BABA: Kwa nini unalia?
MTOTO: Mwalimu amenipiga, na nimeambiwa twende wote...
Let me ask you guys a weird question. What percentage of Nigerian girls between 18 and 21 do you think are virgins?
1. Less than 5%
2. Less 20%
3. Less than 50%
4. Other
What do you guys think...
Bado tupo kwenye msiba wa ndugu zetu form four hivyo tuungane wote kwa kusema 'NECTA IMETOA NECTA IMETWAA; FORM FIVE WALIIPENDA LAKINI KITAA KUMEWAPENDA ZAIDI, JINA LA NECTA LIHIMIDIWE AMINA.T
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.