Madadiiito na mashostito, Ijumaa hii hapa tena.
Kuna kiti moto nzuri sana pale kinondoni Hugo bar if am not wrong
Saa kumi na mbili jioni tukutane pale
Nimejifuta facebook
YEYE : " Jamani Baby nimeshafika muda mrefu nipo hapa kituoni nimechoka kweli Darling,juu nimevaa fulana nyeupe na chini nguo ya pinki,jaman I miss you my Baby come please!!!"...
..hivi "used items" al'maarufu kama mtumba lazima zitoke majuu?.. (Au labda kuna mtumba wa hapa hapa BONGO nami sijui).. BTW nimeamua kuwa mjasiriamali wa vitu used vya hapahapa kwetu
...
kwa muda ss nimekua humu nikiwa mimi tu,na familia yangu mwenyewe ambayo ni mimi mwenyew...nimechoka na hali hii..naomba familia iliyo tayar kuni adopt umu kama ndugu (japo ule wa kuunga kwa...
Kile kitendawili kilichokosa jawabu cha kwa nini madogo wa mwaka huu wamefeli sana kidato cha nne sasa kimefichuka.
Baada ya Serikali na Bunge kuidhinisha kuwa watu wote hawatajiunga na vyuo...
Habari zenu..
Naona siku njema ambayo miaka kadhaa nyuma..
Kulikua na vifijo na nderemo bila kusahau vigelegele...
Ambapo mtoto wa kiume alipozaliwa na mama aliye hai mpaka sasa...
Miaka ya...
Imetokea baba yako mzazi anampenzi wake ambae ni mzuri mwenye kuwavutia vijana wengi ,umri wake ni sawa wewe au umemzidi kidogo ,lakini kuna hali imejitokeza anashindwa kujizuwia mnapokuwa peke...
Dada mmoja alikuwa anapita njia katika kijiwe cha wahuni,akiwa amevalia kitop kikionyesha uwazi baina ya maziwa yake. Juu ya hicho kitop amevalia mkufu wenye lakti ya ndege (aeroplane) ambayo...
Napiga hodi baada ya kuaga na kujipa Ban binafsi... Dah.. Kukaa nje ya C.C Ni mateso aiseee... C.C.B (Chit-Chat Bachelors) Nimerudi, Wanandoa kama watu8 nimerudi...Walio vuguvugu kama noahism...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.