Za sa iz??
Samahan kwa kupotea!!
Nilienda kuwasalimu wazee wangu mjini Arusha.
Nimesikia unanisaka kwa hali na mali sijui nimefanyeje maana mwenyekiti wa ndoa Baba V anataka tumfuate sijui...
Kagera Day ni balaa
Uchangiaji fedha katika siku ya Kagera day.
Kiasi MABIRIONI ya shilingi yilichangwa mbele ya Lowasa ikiwa nipamoja na zawadi.
1. Prof. Rweikiza wa Marekani- Sh. milioni...
jamaa mmoja alikwenda kununua chips. baada ya muda zikawa tayari muuzaji akamuuliza tuweke nini na nini? jamaa akajibu tena kwa kujiamini chilitomato, muuzaji akaweka chill na tomato kisha...
Kulingana na uzoefu wangu pombe kiasi sio mbaya sana i'm 35+ years
kwenye pombe kiasi kuna advatange sana kama hizi
1- unakuwa na marafiki kibao
2. Ni rahisi sana kupata michongo ya ukweli
3...
At a Wedding in a Church, the Pastor said to the Congregation, is there any Man or Woman here who knows any thing that will make this wedding not to go on?
You may say it now or forever remain...
Nilirudi wiki iliyopita tokea jijini Dar sasa natamba nikiwa hom Arusha yaani narudisha mwili kwanza maana matukio ya mwaka jana yalikua hatari zaid sina haja ya kuyaelezea.
Shukrani kwa Muumba...
Mwangaruka,
Heshima
kwenu wanabodi.Jamani eeh,wenyewe mmejionea kuhusu matokeo ya wadogo
zetu wa form four.Mnasemaje sasa kuhusu kuomboleza vilio vya wadogo zetu
Yesterday, I was passing by your rectangular house in trigonometric lane.
There I saw you with your cute circular face, conical nose and spherical eyes, standing in your triangular garden.
Before...
Wanawake walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mumeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu.muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi...
Jamaa mmoja alishukiwa na Malaika toka mbinguni akaambiwa omba chochote unachotaka lakini Jirani yako yeye atapata marambili.
Kwa Mfano ukitaka PRADO Jirani yako atapata PRADO mbili nawe utapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.