JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo kuna nini humu, ajabu mchana huu idadi kuwa hivi
0 Reactions
4 Replies
761 Views
An alcoholic, a smoker and a gay went to a doctor. The doctor told them that if they do again what they think are addicted to, they will die. As soon as the alcoholic went...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
hebu fanya kauchunguzi ni kwa nini wapenzi wanapokua ndio wanataka kufanya tendo la ndoa husaidiana kutoa nguo kwa pamoja tena kw romance kali lakini baada tu ya tendo la ndoa kila mtu anavaa nguo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
There are three engineers in a car; an electrical engineer, a chemical engineer and a Microsoft engineer. Suddenly the car just stops by the side of the road, and the three engineers look at...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huu ndio wosia wangu kwa wana Jf siku ya leo Nawatakia weekend njema...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu wa jf hamjambo??wakubwa zangu shikamoo!kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Mwaka huu nategemea kumaliza ka degree kangu kakwanza ila kutokana na hali mbaya ya ajira ilivyo hapa nchini...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Akiwa darasan mwalimu alimualiza mwanafunz wake mmoja swal. Mwalimu: Ikiwa mlinzi wa Rais anaitwa Bodyguard je mlinzi wa Waziri mkuu anaitwa nan? Mwanafunzi: Waterguard.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Muwazima wanamod wenzangu humu ndani? Mnaendeleaje Ni siku ingine ya Blue Monday iliyojaa uchovu kwa wote waliokuwa katika pilikapilika za weekend, na mihangaiko ya utafutaji wa shiilingi ktk...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Samahanini sana, nimepita huku si kwa ajili ya uchafuzi wa hali ya hewa bali nimepita kwa nia njema... acha niludi siasani kwasababu ndipo nilipo anzia na ndipo naenda kuishia. Samahanini Sana Jf...
1 Reactions
166 Replies
7K Views
Wakuu salam. Niliwahi kuja humu mara kwa mara kujibu hoja za watu kuhusu swala la Ruhazwe JR na zawadi za miss chitchat 2012 na nikaahidi kuleta mrejesho hapa mara baada ya kurudi na kuwasiliana...
5 Reactions
99 Replies
5K Views
Jamaa mmoja alishukiwa na Malaika toka Mbinguni akaambiwa omba chochote unachotaka lakini jirani yako yeye atapata mara mbili. Kwa mfano ukitaka PRADO jirani yako atapata PRADO mbili nawe utapata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Helloooo......
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama kawaida ya wana Dar Wing nimeona nitoe wazo hili je manaonaje baada ya shamlashamla za za Pasaka tukakutanyika na kupanga mikakati kama Madame B alivyozungumza kwenye thread hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
sasa unashangaa nini!!! Hayo ndio matokeo yako uliyokuwa uanyaulizia kila siku
0 Reactions
21 Replies
23K Views
Dogo mmoja alikuwa anapIga story na BABA yake mara demu wake akatokeA!...dah! BABA mwenyewe mtata ... sana...dogo akaamua kutumia akili ya kuzaliwa ...maongez na dem wake yakawa ivi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jibaba fulani lilikuwa na tabia ya kuzima taa wakati anapoingia kwenye tendo la ndoa. Hali hii iliendelea muda mrefu kama miaka 15 hivi. Siku isiyo na jina mkewe akachachamaa na kutaka taa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wa R Chuga mtanunaje.... Hapa tuko mimi, marejesho, Paloma, Lusile, Vivianna, cacico, Na Mzee wa Ku-Party Mtambuzi, warembo tuna glass za Champagne na maua mekundu, Kwa raha zetu.... Mzee...
13 Reactions
201 Replies
10K Views
Hello i wish u all the best in your valentine.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamani, mwenzenu naanza maisha upya, nahama toka ushongo kuja Dar Es Salaam Ninatafuta vitu vingi sana, nimekosa jukwaa ya kuweka thread yangu. Vitu vyenewe: 1. Natafuta kazi. Nina uzowefu mkubwa...
13 Reactions
60 Replies
5K Views
Habar zenu wana forum !
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom