John alionekana kupona hvyo akatolewa kwenye hosptali ya machizi arudishwe kwao.
Asubuhi moja
akachukuliwa akapelekwa hadi jirani na kwake akaulizwa unapafahamu hapa?
John: ndiyo nyumba...
Mchezo wa kanga moja maarufu kama kanga moko, umewatisha wabunge. Hali hiyo ilitokea bungeni jana wakati wabunge hao walipokuwa wakichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni...
..washikaji wangu wa A town vipi Mambo..
. Erickb52. Mr Rocky.. Crashwise..
..na wa dar mambo vipi..?
watu8.. Madame B.. Mamdenyi
...wana cc wote mambo vipi..?
A man & his ever nagging wife
went out on a vacation to
Jerusalem.While they were
there,the wife passed away.
The undertaker told the husband,
"You can have her shipped home
for $ 5000 or...
Utajua kama unasimu ya KICHINA
kama_________
1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina
Tv,microwave,torch,kikata
kucha,mswaki,kiberiti cha sigara
3. Unaweza andika Msg kwa tooth...
Unasafiri kikazi, wakati unapaki nguo na makorokoro mengine, Mkeo anakupa box la kondomu "Honey chukua hizi in case ikitokea dharura". Unalipokea kwa tabasamu zito na kusema "Asante Mke wangu kwa...
Well, hello guys!
It is Mei Mosi again, zamani zetu Rais wa Jamhuri ilikuwa ni lazima atoe hotuba kwa wafanyikazi, na matarajio yetu mara nyingi ilikuwa ni kupanda kwa viwango vya mishahara...
Leo ndio mara yangu ya kwanza kuja R Chuga, nimeona ni jiji zuri sana lina baridi la wastani, lakini nasikia ni jiji la kibabe, anaway suala kubwa lililönileta hapa ni kuwa nimefikia maeneo ya...
Zuzu alikuwa anatembea ,ghafla akaona kitu kama mavi,akagusa na kidole ,halafu akaramba.......Dahaaa kumbe ni yenyewe ,NAMSHUKURU SANA MUNGU SIJAYAKANYAGA
Jamaa alimchukua paka wake na kwenda kumtupa mbali aliporudi akakuta paka amesharudi akakasirika sana, cku ya pili akamchukua na kwenda nae mbali zaidi ya kilomita 50 akakata kulia akakata kushoto...
Jamaa flani alikuwa amelala na
mkewe.Mara akamuona mtu
amesimama
kitandani.
Jamaa akafoka,"Toka hapa,we ni
nani mpaka unakuja kitandani
mwangu?" Yule
mtu akajibu,"Mi ni
malaika;mtakati fu...
what is up chitter chatters, nina swali wakuu wakubwa
Mi nataka kujua kazi gani ya hovyo wanalipa vizuri, kuna ninazo zijua ile ya kunyonga wanalipa safi kweli kweli, kilo nane na ushee nasikia...
Usimuone ng'ombe anatembea huku anakunya, anajali muda.. (time management)
....
Baba m1 alikua anasafiri kwa punda na mwanae, akampandisha mtoto kny punda yeye akatembea, watu wakasema...
Ama kweli hawa ni masela!!
national examinations council of tanzaniacsee 2012 examination results
s1954 masela secondary school
div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 3 div-iv = 8 fld = 11
cno
sex...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.