Wale wa mjini, ni sehemu gani Dar kuna majengo ya kifahari, na hiyo sehemu jina lake ni chombo cha kupikia jikoni,na hilo jina ni jina la msanii maarufu wa bongo movie? Naombeni majibu
Habarini za Muda Huu Members wote wa JF,
Kama tulivyojadiliana jana kuhusu kufanyika kwa ile White Party ya Dar-Wing, Siku ya Jumamosi ya Tar:26 January Kuanzia Saa 11 jioni hadi majogoo,
Hivyo...
Unapoonge kwa simu na mtu halafu unarusha rusha mikono, una mwelekeza kwa ishara na mikono utadhani yupo karibu anakuona! Mambo ya simu za mkononi bhana.
Upo mbele za watu unaongea kwa sauti...
Habari wanajamvi wote wa humu ndani ya chitchat
Katika majira na nyakati tusizodhani, na yale majira ya kiangazi ubaridi na upepo ulivyovuma kaskazi na kusini. Familia ya Bakulutu kutokewa na...
Heheheh!!! ngoja nianze kwa cheko kwanza maana hii nyeti nimetoka kuisikia hapa kwenye korido za Wizara ya Maliasili na Utalii...
Eti lile jilima refu kuliko urefu wenyewe linalopatikana kwa WASEE...
Naku.............................. Manoah. lakini naogopa kukwambia coz cjui utachukuliaje
then namuogopa mama yako ticha mkali
pili kakulea kwa maadili yote cjui kama ntaweza fanikiwa,
Any Agent...
Mi basi bana The secretary katafute bwana mwingine akuoe.Wivu gani huo mpaka unatoa povu utadhania umemeza omo.Mchango nilitoa,shati jeupe la linen mariedo nikanunua.Wakati najiandaa kutoka...
SIJUI KAMA SIKU HIZI IPO HII!
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa
'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa...
Mahusiano mara nyingi hupitia katika majaribu na magumu, na njia nzuri ya kusinda vikwazo ni kusahau tofauti zenu zote na kwa mwenza wako yakupasa kumkumbatia na kupeana moyo.Natumia fursa hii...
Ebwana ee...
Salamu kwa Mods...
Poleni kwa kazi nzito...
Salamu kwa members...
Poleni kwa shughuli za kila siku...
Yaliyonikuta Chit Chat tangu Desember mwaka jana mpaka leo hii.
Fata stori...
Wakuu naona mida ya maakuli ndo hiyo. Waswahili husema ukimchunguza sasa kuku anavyotaga hilo yai utashindwa kulila; au kwa kifupi siri ya mtungi aijuaye kata. Kila mmoja anajua anakopata msosi...
..........Mwendesha bodaboda jana alitoka nduki bafuni alipokuwa anaoga.. huku akipiga kelele ...bafuni kuna mashetani..... kwa sababu kila akijimwagia maji kichwani hayafiki kwenye nywele ...
Jamaa fulani alirudi nyumbani kwa huzuni mazungumzo yao yalikuwa hivi: MKE:Mbona leo una huzuni mume wangu? MUME:Ofisi yetu imeungua ni mimi,sekretari,mhasibu,bosi na mkurugenzi mkuu ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.