Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya
msalaba akaanza kuungama.
"padri naungama dhambi...
Hello wana Chit Chat wa Dsm na maeneo ya jirani akina Madame B cacico noahism Mjeda Vin Diesel Mamndenyi na wana Jf wengine,nawatakia Party njema!!
NAWATAMANI!!!
Heshima wana chit-chat,
Baada ya jana kujumuika na wanajf hasa wa jukwaa letu pendwa la chit-chat pale Kebby's Hotel nimefurahi sana.Kwa mantiki hiyo naomba kukaribishwa katika jukwaa hili maana...
Vichaa waliambiwa watengeneze Tv kwa Kutumia mabox, siku ya kuleta Tv vichaa wote wakaleta Mabox Yao, Kasoro Mmoja ye akaleta Karatasi, wakahisi amepona, Dokta akamuuliza We vipi Mbona Umeleta...
Najiuliza kama wayahudi walimpakisago Christ kwa misumali msalabani ingekuwa leo unadhani nyenzo gani zingetumika na techno yote hii ya wanadamu kila kukicha tunavumbua vitu vikali vya kuuana cc...
BREAKING NEWS... nimepigiwa simu na MUSHI akiwa na MALLYA pamoja na MREMA sasa hivi ananiambia kuna MAANDAMANO makubwa kule KILIMANJARO... eti hawataki MBEGE yao ichukuliwe na kuletwa DAR ES...
Nibaada ya dent kubanwa na msimamiizi kwa mda mrefu akimchunguza ktk chumba cha pepa na kuamua kujamba ili apate nafas ya kuchomoa nondo. huo ndo uvumbuzi wa madent wa kibongo .
LEO NI jumapili na INJILI INAKUJIA INASEMA:-Chagueni hv leo mtakae mtumikia, mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu alie hai! Aliemtoa mwanawe afe alipie gharama za uhai wowote ambao upo hatarini...
Mliokuwa ndani ya White Party Kebby's Hotel poleni kwa uchovu na hongereni pia.Sina shaka kila mtu alii-njoy.Niliambiwa kutakuwa na Live Band...Naomba kila mtu animbie Mziki uliotumbuizwa na...
Basi bwana ni mke wa mtu.. mie hadi nimataka kupigwa na kupelekwa pasipo julikana, shahidi wa hili jambo mie mwenyewe. Nime ahirisha kuleta na bandiko langu ndoa. Nasubiri waachane kwanza...
Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4.. Akimwambia Mzungu Ugumu Wa Kupanda Mlima Kilimanjaro Sababu Haujanyooka Moja Kwa Moja:
SIR,TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB BECOZ...
Kama unabisha jitoe JF.
Leo ni siku njema sana, tuko Kebbs hapa tunaona wema wa Jf.
Najua nyingine nzito zaidi inakuja, please dont miss itakapotokea hapo siku za usoni
Sometimes huwa nafikiria especially hay matukio yanao wakumba wanafunzi vyuoni hasa wa kiume kulawitiwa wanapokuwa wamevamiwa tena uvamizi wa silaha za moto.
Swali linakuja wakitaka # 0713 utatoa...
Dah.. Hatimae mjomba Chimbuvu amefunguliwa toka kifungoni leo.... Nadhani huyu ndio mhanga aliye kuwa amesalia katika server room, baada ya Chilli noahism na Baba V ... :welcome: back... Sasa...
Haya yote yanayojiri leo katika wanaJF wing ni makubwa kweli kweli na kwa mtazamo wangu wa kuangalia na kutambua nataka nitambue uwepo wa member hawa wadhibitishie Jf ya kwamba kama siyo ARUSHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.