JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
aah
karib nijisahau happy birth day to meee
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Who Enjoys Sex More A man and a woman were having drinks when they got into an argument about who enjoyed sex more. The man said, "Men obviously enjoy sex more than women. Why do you think...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Babu m1 aliibiwa hela yake kwenye daladala na kuanza kusema.."Jaman alienichukulia hela yangu anirudishie tu mwenyewe nicje fanya km nilichofanya mwaka1976" jamaa aliechukua hela akaogopa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jf mi nahitaji kuonana na marafiki waliokuwepo dar kwani nipo hapa kwa matembezi anaehic ana mda na anataka tufahamiane km marafiki anitumie no yk ya simu mi nitawasiliana nae
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Katika pita zangu kwenye facebook, nilikutana na mkaka anayejiita Thomas David Richardson Bonifas . Nikajiuliza hivi huyu ni mzungu au mbongo, picha na kila kitu ni mweusi tena msoni wa UDSM. Basi...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Umofia kwenu ma igwe na ma ogah, post yangu hyo ya kifree mason 11111 naenda na mabadiriko ya kidigitale only bits tu. wikende njema, ikemefuna na okonko wanawapa hi
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wimbo wa Dolly Parton huu, unaohusu mazingira magumu ya kufanyia kazi huko Marekani. Ni zaidi ya wimbo, unazungumzia pia jinsi bepari anavyonufaika na jasho la common mwananchi. Nataka munijaze...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Your Best Day are ahead of you, not behind you'' Your tomorow is brighter than today. Keeping hoping, keep fighting, keep pressing ahead.
0 Reactions
15 Replies
985 Views
hapa nadhani kila mmoja angejijua yupo katika hatua ipi.
1 Reactions
32 Replies
2K Views
(1)Umeajiriwa kazi na kutimuliwa baada ya siku 30 bila malipo. (2)Una-download kitu kinafika 99% kina-fail. (3)Umenunua simu leo laki 3,kesho inaporomoka bei mpaka laki moja na nusu. (4)Umetumia...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Hii Slogan naona ina-motivate wizi tuu....Nimewakumbuka wadau wenzangu,woooote wa Chit Chat..weekend nshatoa Code tayari...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wale wa dear gambe karibuni, tokea nimetoka mzigoni sijafika maskani. Kilauri mwanzo mwisho, lakini bora yangu sijaoa. ONYO: KAMA UMEOA USIFIKE HAPA.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkenya mmoja alitoka Mombasa kwenda Zanzibar kutalii akiwa na Kasuku wake. Baada ya kushuka kwenye boti na kumaliza shughuli zote za kugonga passport, aliamua kwenda kununua ndizi za kuiva ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana chit chat. Guys tukaribishe week end kwa kutaja masong ambayo ni one hit wonder. One hit wonder kwa msiojua ni pale msanii anapotoa single nzuri halafu ina hit sana lakini...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Namleta kwenu kaka yangu ndo huyo mrefu mnaemuona....muda si mrefu atakuwa nasi akitokea israeli...mlikuwa mnafikri mimi sina ndugu wapo na huyo ndo wa kwanza. nategemea kumpa kazi ya...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwizi alibomoa nyumba akaingia kkt stoo akaona vinyama kwenye kibakuli vilivyokauka, akaonja kimoja akaona kitamu kina chumvi! Akafurah akakaa chini akala vyote alipomaliza akaangalia juu ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ruttashobolwa ame dedicate hii nyimbo kwa mpenzi wake wa kumoyo,kaniomba niirushe hapa kwa niaba yake: oh Madame B, oh Madame B, umenigeuza shamba la bibi, sina tena kitambi, kama zamani...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
The Man went with his wife in the middle of the night. The doctor was called in to assist in the delivery. To keep the nervous father-to-be busy, the doctor handed him a lantern and said, "Here...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
nikama wiki tatu sasa,kuna dada mkazi wa ungalimited alimuokota paka mzuri barabari akiwa anatoka kazini,dada akajifanya anapenda sana wanyama akamchukua yule paka na kwenda nae kwake,dada...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom