JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
  • Closed
Kwa niaba ya wana Chitchat wote nawaomba Moderators wote watusafishie jukwaa letu pendwa kwani limevamiwa na Mamluki.... Hapo awali kabla ya mamluki hao tulienjoy sana jukwaa hili bila BAN...
12 Reactions
205 Replies
10K Views
Hapa unaona Nyuso Ngapi za Watu?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
kuanzia leo jioni hadi jumapili.ni full ku-:sleepy: yaani ile sana+:spit:halafu :violin: na ku :bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:..Maulidi njema na wikendi njema kwa woote..
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Nimekuta mchango humu JF ikiwajadili Wakurya, Wanyiha na Wazaramo kuhusu kuona wake wengi; naomba Modi mniruhusu kuufufua kwa njia ingine na kwa malengo mengine kama ifuatavyo. Mababu zetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
walikuwa wanaingia huko ndani kwa zamu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mrembo atakaye pendeza zaidi ndiye atakuwa Chit Chat Queen of all time. Rock to thrill
4 Reactions
94 Replies
4K Views
An man drinks at the pub until they close. He stands up to leave and falls flat on his face. He tries to stand one more time and falls again. He figures he’ll crawl outside and get some fresh air...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana JF wenzangu; nipo hapa morogoro kikazi na nilibeba vimoderm vyangu viwili; sasa kale ninakokategemea sana kuperuzi huku JF kamenigomea siku ya pili sasa- ka eateli 3.75G . Nimewasiliana...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
kwa: Erickb52 . my brother , nategemea ujio wako katika kuweka mambo safi, hasa ki uchumi hali imekua mbaya miradi uliyo waachia wasimamizi wako wanahonga ovyo ovyo huku hasa huyu...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
kwenye mahojiano msanii anaulizwa ni scene gani iliyokuvutia,anasema ni ile aliyokula chips na kuku
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamaa alikuwa kwenye Hummer na mpenzi wake, ambaye wakati huo alikuwa akilamba ice-cream huku kiyoyozi kinampuliza, gari liko kwenye silence; MJAMAA: Bebi kuna kitu nataka kukwambia lakini najua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Tuliishi kwa amani na kutaniana na kupeana madongo ya kila aina. Hakuna aliyevuka mipaka wala hakuna aliyeenda mbali zaidi ya utani wa kawaida. Jukwaaa lilikuwa ni stress free sehem ambapo...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari wana chitchat. Nimekuwa mfutiliaji sana na mshiriki wa JF hasa jukwaa la siasa na mara chache nimekuwa nikiingia hapa . So kupitia hapa namtafuta mwanachitchat mdada wa kuniliwaza japo...
0 Reactions
39 Replies
2K Views
Fanya utafiti kwanza kwa kuanza na wewe mwenyewe.(kama ni wewe ni mwanaume) au mwenzi wako(kama wewe ni mwanamke). Jiangalie dole gumba la mguu wako ni directly related na ukubwa wa uume wako...
3 Reactions
67 Replies
10K Views
Sikuamini nilipokuoneni jana dinner Sea Cliff Arabela sharifaa amu Paloma marejesho Maeskron na Lily Flower nawashukuruni sana kwa kuitikia invitation yangu ya dinner pamoja...
9 Reactions
196 Replies
8K Views
Nakumbuka mwaka jana katika msiba wa Marehemu Regia Mtema nikiwa na member wangu wachache toka katika group ninalo administrate facebook tuliwasili pale. Lakini hatukuwa tumejipanga sana kutokana...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwa JF members wote.... Nimefurahi sana kwa JF members wote tuliowasiliana kwa njia ya simu, email, na kwa mtandaoni humu JF. Nilifurahi sana kwa wale waliotupigia simu na kututakia maisha mema...
6 Reactions
70 Replies
4K Views
Jamaa aliamua kutoka 'OUT' na dem wake, kufika hotelini mhudumu akamuuliza jamaa "mngependa niwaletee chakula gani?" jamaa akajibu "usijal me niletee MENU" then mhudumu akamuulza yule dem, "je na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tayari nimetoa ng'ombe za mahali kwao na binti Evelyn Salt ndoa ilipangwa jumamosi ilee iliyopita, mshenga pamoja na kamati nzima walinihakikishia kuwa ndoa itafungwa saa tisa jioni pia...
4 Reactions
92 Replies
5K Views
nilikua nawasalimu wandgu humu ndani,,,coz nilijiounga humu ndani tangu june mwaka jana...but sikua active n pass word yangu nilikua nimesahau...but nw am available....thanx all wana member plus admin
0 Reactions
5 Replies
880 Views
Back
Top Bottom