JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nauliza kuoga asubuhi ni USAFI au mBwembe tu.Kuna watu wanaoga asubuhi ilihali hawafanyi mazoezi,hawajaoa.Haya huo uchafu wa kukuwahisha asubuhi kuoga ni upi wakati ulikuwa umelala.....mmmmmh kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eti wana JF. Ni mwanaume gani humu Chit chit hana Mchuchu wa humu humu Ndani nitoke naye weekend hii. Jamani ni kutoka tu msini interprate vibaya. I really miss Bebii
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari zenyu Bhanaaaaaaa..........!!!!!!!!!11 Wana CC na wana JF kwa Ujumla natafuta Partner wa kuwa nae kwenye White Partyyyyyyyyyy........!!!!!!!!!!!!!11 Yeyote anakaribishwa. VIGEZO...
4 Reactions
212 Replies
9K Views
habari zenu humu ndani!..mimi mgeni jaman naombeni mnipokee....
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Pamoja na kwamba siku hizi kasi yangu ya ku comment imepungua sana ndani ya JF, bado hakuna siku naweza kukosa kuingia humu, iwe kwa ka simu kangu ka jicho moja au kwa ka Laptop kangu ka kuunga...
11 Reactions
81 Replies
5K Views
Niko hapa Ndanda kuna msiba wa msanii umetokea. Msanii anaitwa Kalembo alikuwa mcheza ngoma maarufu hapa kijijini. Natafuta jinsi ya kuwasiliana na Magogoni ili nijuwe itifaki za kumpokea bwana...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Ivi, wadada kwanini mwanaume akikushusha tu, hua mnajilahisi sana?
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni ratiba yangu ya kawaida kabisa asubuhi nafagia uwanja,kisha nachukua mkokoteni nafata maji,kisha namuogesha mtoto wetu anayesoma primary std1 na kisha kumtengea chai na kumpeleka shule then...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Nabii Joshua Mwantyala akiwanyunyizia 'maji ya tiba' kinywani wananchi waliofika katika mkutano wake wa neno la Mungu wenye lengo la kuwaombea watu wenye magonjwa sugu wakiwemo wenye Ukimwi, Mjini...
0 Reactions
5 Replies
901 Views
Jamani, unafiki na kujikosha si tabia njema, kwani ni dhambi mbele za Sir God , na mnafedhesha mitume wake.
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Baba V umewahi kuusikia huu wimbo? Erickb52? Mamndenyi? watu8? amu? lara 1? manoah na wengine woote, ndugu zangu wa mtwara asanteni sana: Telelainfoblog.com: DOWNLOAD FREE SONG GESI KWANZA FROM...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Unajua kama utundu kwenye mapenzi kwa watu umeigwa kutoka kwa wanyama na ndege? Denda- Njiwa Kunyonya uchi-Beberu Chuma mboga- Mmbwa kubaka- Jogoo kula tigo- Nguruwe kukata mauno na kulia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuendelea kufungua, thread zinazo wahusu wachafuzi wa CC ni sawa na kuwapa vichwa na kujiona kama wana nguvu ya kusumbua na CC, dawa ni ndogo, ni ku asume tu kama hawapo hao watu bhaasii watasepa...
0 Reactions
10 Replies
921 Views
WanaJF wanaotongoza wajukuu zangu kwa PM, hamjui nina pasiwedi za wajukuu wangu? Nawasikitikia sana.....nawajueni, iko siku ntawarusha hewani. WanaJF wanaotumia ID na avatar za kike kumbe ni...
7 Reactions
68 Replies
7K Views
haruthi ilikuwa ndhuri!, bibi haruthi alipendedha utathema mbalamwedhi. toa na we yako
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Jamaani nyie dar Wing's mbona mmepooza kama maembe sifurii? Oneni wivu wa kimaendeleo jamani. Ivi amjisikii vibaya wenzetu wa Tanga na Arusha walivyo na unit kama siafu? Nini chanzo cha nyie...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Jamaa alisikia tetesi kwamba mkewe analiwa uroda, akafanya tego la kumnunulia chupi tano zote za bluu...... aliporudi nyumbani mkewe akampokea kwa mshangao "mume wangu mbona zote za abluu au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman mi na mi hela kbao yan nkiwapa wanajf wote wanapata 10000000/=kila mmoja xa ntajien nilale na superstar gan wa kke hapa bongo?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eti,"Tumemuwekea sanctions"!! HA HA HAAAAAA!!! Kumbe kuna watu wanadhani Jf ni sehemu ya kutafutia umaarufu? Umaarufu kwa Id fake? HA HA HAAAA!! Chit Chat bhana!! COPY TO mrobhanda.
1 Reactions
77 Replies
5K Views
Kuna members wanao7bisha members wengine kapata BAN. % kubwa mwanzisha hapati BAN isipokuwa wachangiaji wa thread husika. Nifupishe maongezi kwa kukutafadhalisha usipost chochote kama thread...
6 Reactions
90 Replies
4K Views
Back
Top Bottom