Baba mmoja alikuwa anamfundisha binti yake mwenye umri wa miaka 8jinsi ya kujifunza kusomana kuandika kiswahili.Baba alianza kwa kumwambia binti wake.
BABA:Sema A,E,I,O,U
BINTI:A,E,I,O,U...
Mdada mmoja mrembo sana alikuwa kapewa talaka na mumewe akahamia nyumba
aliyokuwa kapanga CHEKA..... CHEKA alipomuona mpangaji mpya roho yote ikamtoka... Akajitahidi kila njia kumuonyesha kuwa...
A teacher asks her class "If there are 5 birds sitting on fence and you shoot one of them how many will be left?" she calls on little johhny.
"None they all fly away with the first gun shot"
The...
INBOX SMS ZA MSICHANA KWENYE SIMU; Frank: I love u gal.
M pesa: You have received 15,000 kutoka kwa John
Tesha.
Bodaboda: Unajua nahisi km nataka nikutoe diner
leo.
100: Umepokea muda wa...
Hapo mwanzo Mungu aliumba ulimwengu na wanyama wake. Kila mnyama alipewa miaka ya kuishi 30. Kati ya wanyama walioumbwa walikuwa Punda, Mbwa na binadamu. Mungu akawauliza wanyama hao Je! unadhani...
MKE WA MLEVI:Mume wangu ulisema huu mwaka mpya 2013,utabadirika na kuwa mtu mpya kabisa na pombe utaacha,sasa mbona bado unaendelea kunywa pombe?
MLEVI:Hapana mke wangu si kwamba...
Habari zenu wanachitchat wenzangu
naona mko ifit kimtindo leo nimeingia kwa gia namba 4 ambayo haiwezekani kabisa kushika njia za matopeni kwani itakwama yenyewe ni lami kwa kwenda mbele jamani...
Niliwahi kushuhudia aliyekua Waziri Mkuu ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwasha Sigara kwenye Mwenge mara tu baada ya kuuwasha (nilimuona akihangaika kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.