FIVE LITTLE STORIES
1. Once, all villagers decided to pray for rain, on the day of prayer all the People gathered but only one boy came with an umbrella...
THAT'S FAITH
2. When you...
Nataka kufungua biashara karibia na Ubungo I DSM na kuuza vitu vifuatavyo kwa wakati mmoja:
magodoro, mito, matairi ya matrekta (makubwa na madogo), vifaa vya magari, chupa za chai, vikombe...
Jamaa wawili walikuwa wakicheza karata porini mara wakapita wakulima wawili, wakasikia sauti "weka jembe chini" wao walijua majambazi wakaweka majembe yao chini "weka kisu" wakaweka visu vyao...
Ninamshukuru Muumba ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana.Tarehe kama hiyo hapo juu,mwaka fulani uliopita siku nyingi nilizaliwa,siku za kuishi zinaendelea kupungua.
Pia...
Siku ya Jumatatu; tarehe 14 January 2013 ni siku ambayo Regia Mtema Foundation imeitenga maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya Regia Mtema. Katika siku hii maalumu wote mnakaribishwa Peacock Hotel...
Umefika zako dukani,unataka kununua condom za kwenda kuchakachulia kwingineko,ile unasema "muuzaji naomba unipatie co....",unageuka nyuma unakutana uso kwa macho na mama watoto wako.Hii sentensi...
Kuanzia wakurugenzi wa makampuni makubwa,wanasiasa,wajasiriamali,mabilionea,forbes chitchat inawaletea watu wenye nguvu zaidi chitchat,
name; Baba V
organisation;CEO wa Chitchat...
hahahahahahaahahh wanawake wachit chat mwaka mupya hii ,haya sasa inasemekana ndoa nyingi za cc zinadumu sababu ya hiyo hapo juu hahahahaahah amu charminglady cacico lara 1 madame b marejesho...
Habari
wana jf nafurahi kuwajulisheni kuwa jana mchana th.20.01.2013 mwenyezi mungu
amenijalia tena mtoto wa kike nimembatiza Ayesiga mama yake yuko salama
na anaendelea vizuri,nawashukuruni...
hivi kati ya O na 0 wanasema moja ni namba na nyingine ni herufi. Mi sasa sijui ndiye kilaza, hilo swali nimepewe leo kwenye asignment yangu ya chekechea na nimekosa jibu hadi sasa...
zamani shule nyingi za msingi kulikuwa na mtoto amabyae ni sugu,siku hizi kuna masharobaro>Shule yetu alikuwepo mtoto mmoja yaani sugu kwelikweli,yaani akichapawa hata na walimu wote halii,havai...
Habari za jioni ndugu zangu wanachit-chat, natumai mpo salama salmini.
Nawaandikia ujumbe huu ili muwe makini sana na huyu jamaa kwani ameingia humu jukwaani kwa kazi kuu ya kuwatafutia watu ban...
Nina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gani.Ninavyo wajua kwa kupenda sifa wangekuwa na...
Loyal Husband
Husband comes home drunk and breaks some crockery, vomits and falls down on the floor. Wife pulls him up and cleans everything.
Next day when he gets up he expects her to be...
Mapach wawili(wakike na kiume)walikuwa wanapendana sana kila siku walikuwa wanaenda kula kuku. Baada ya kubalehe wakaanza kuota nywele sehemu za siri.
Pacha wa kike akamwambia kaka yake "Hawa...
Baada ya kutingwa na mishemishe za kufunga mwaka 2012 na kufungua mwaka 2013 kwa mambo kadha wa kadha sasa narejea jamvini.
Wale wandugu wa Dari salama na maeneo ya jirani jamani tukutane...
Hii imetokea huko Kenya
Mgeni rasmi akikaribishwa kutoa hotuba
Tunashukuru sana ndugu mgeni kwa Kunya kwako, Kila ukiitwa umekuwa ukiharisha lakini leo umekunya, asante sana kwa kunya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.