JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wapendwa! Really missed you guys!Si nilisahau password yangu nikapotea jiii narudi nakutana na mambo kibao Sasa natafuta wakunipeleka hiyo White Party tarehe 26 jamani ukata wa January mbaya...
2 Reactions
60 Replies
3K Views
Wanabodi najua humu kuna wataalamu wa kila aina. Kuna jamaa yangu anatumia simu ya NOKIA X2-1. Ina uwezo wa kudownload mp3 na video kwenye waptric lkn kama mnavyojua vitu vingi havik kule tu...
0 Reactions
4 Replies
865 Views
namtafuta huyo member aliyenifanyia hii kitu aisee,... mm nilikuwa mdau mzuri sana wa JF lakini kwa sasa kila nikijaribu kugusa JF humu nateleza, erick b52 na Smiling Saint mnisaidie
5 Reactions
77 Replies
4K Views
MAPASTOR watatu walikutana wakaelezana shida zao ili waombeane PASTOR wa kwanza: mimi tatizo langukila nikitoka kwenye ibada lazma niibe sadaka za waumini naomba niombeeni niache. PASTOR...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mfumo wa digital Wameboresha kuweka lugha ya kihehe kwenye sim na mambo yatakuwa kama ifuatavyo:- Phonebook SHITABU SHA ISIMU Names MATAWA. Exit HEGE IPA. Cancel DUMULE. Setting...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdada mmoja mrembo sana alikuwa kapewa talaka na mumewe akahamia nyumba aliyokuwa kapanga braza Joni.... Joni alipomuona mpangaji mpya roho yote ikamtoka... Akajitahidi kila njia kumuonyesha...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Mshitakiwa kafikishwa mahakamani akishtakiwa kushikwa ugoni. Hakimu: Mshitakiwa, ni kweli ulilala na mwanamke huyu usiku wa jumatano tarehe 12 July? Mshitakiwa: Hata lepe sikupata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Guys what happening now days? ...humu jamvini hadi naanza kusahaulika ati.
1 Reactions
23 Replies
2K Views
wajamv najiuliza ingekuwaje tusingekuwa tunavaa nguo kama zamani?..fikilia bize za watu kariakoo, kanisani,ticha na wanafnz darasan na kubwa zaid politician jukwaan..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Au Jumamosi hamtoki.....? mmekuja kuwaje bana.....?
0 Reactions
83 Replies
5K Views
Jamani naitwa Samiah nimejisajili cku si nyingi huku ila hata sielewi naona watu mnajuana ila cjui mnajuana vipi je kuna ku follow na kufollow back or?:confused:
1 Reactions
61 Replies
4K Views
Katika mpira unapochezwa ni kipi chenye spidi kati ya mchezaji na mpira?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana wana Chit Chat na wana JF kwa ujumla nimeamua kuuza Sura rasmi Jf.nashauri na wengine waige mfano wangu.Hii itakuwa rahisi kutambuana huku mitaani/mijini kuwa huyu/yule ni mzee Mtambuzi...
2 Reactions
106 Replies
5K Views
Leo nilibaatika kutizama video ya utabiri wakiama ambacho kilitarajia kutokea 2011 kakushangaza leo ni 2013 je bado waamini kilawa wasemacho wazungu
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Kuna dogo mmoja kaulizwa na baba yake: Baba: hivi mwanangu hiyo mitihani utafaulu kweli!? Mtoto: ndio baba manake mitihani ilikuwa na jibu moja Baba: kwa vipi!? Mtoto: mlangoni waliandika YESU NI...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kila nikiona Premium Member, nafikiria itapendezaje Wana Chit Chat kuwa na nembo ya Premium. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
4 Replies
956 Views
Wanafunzi wa kike wanatoka shule,wakawakuta wanafunzi wa kiume wanaangua maembe.Mwanafunzi wa kike akaangalia juu ya mwembe akamuomba yule wa kiume "kaka naomba utuangulie maembe"yule wa kiume...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna tangazo moja EATV linaonyesha bodaboda likiwa na bendera la Uganda,Bajaj ikiwa na bendera ya Tanzania,na basi kama Coaster ikiwa na bendera ya Kenya yakiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dakika chache zilizo pita nimetoka kifungoni nilikodumu zaidi ya mwezi mmoja! Sasa jamani,umri wangu JF ni miezi minne tu,lakini idadi ya BAN nilizopata du!! Marry Hunbig Madame B pombekali...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
An engineer crosses a road when a frog calls out to him, "If you kiss me, I'll turn into a beautiful princess." He bends over, picks up the frog and puts it in his pocket. The frog speaks up...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom