Tarehe 29/January 2011 ndiyo ilikuwa siku nliyojiunga Jamiiforums na leo natimiza miaka miwili. Si mingi lakini kwa niliyoyapata humu nnawez kusema nina full package ya faida, hivyo kwangu miaka...
Mwenzenu nyumbani hapaliki wala hapalaliki, nimepotelewa na Kikuku changu siku ya White Party.
Kama kuna mtu alinionea basi anairejeshee tafadhali.
Hivi siku zile nilikuwa nimekaa na nani...
Mimi ni mpya humu chit chat, nauliza kuhusu utaratibu....nini hasa kinafanyika huku, isije kuwa watu wana cheza disco humu mimi nikaanza maombi! Nawasilisha
Sent from my BlackBerry 9700 using...
daktari aliamua kupima maendeleo ya wagonjwa wake wawili wa akili. akawapa kioo na kuwambia wakiangalie na kutambua sura watakayoiona.
CHIZI 1; (huku akiangalia kioo) hii sura kama naijua vile...
huna hata mia mfukoni...afu unamtokea dada mzuri ana uwezo,ana push usafiri wake,ila kwa kuwa wewe ni iron heart unaenda kwa confidence unamueleza ziki zako ana kusikia na anakupa moyo wake,afu...
Kuna jamaa alitaka kumuumiza mpenzi wake kwa masihara tu, kwakua wapo mbali mbali mikoani, huyo jamaa akamwandikia mpenzi wake,(nimepata mpenzi mwingine wewe sikutaki tena! kwahiyo ile picha...
Sikumoja mwanaume karudi nyumbani saa chache baada ya kutoka home kuelekea kazini mata;
Mwanamke: khe kulikoni baba
Mwanaume: kumetokea ajali kazini
Mwanamke: ajali gani mume wangu niambie...
Mimba noma, kuna jamaa
alitolewa night kali akatafte
vitango tena kwa kilio, ikabidi jamaa amuamshe muuza vitango tena mbali na home kwao, jamaa aliporudi akaambiwa avioshe na avimenye then...
Kuna jamaa mmoja alikuwa mlevi sana wa pombe aina ya gongo.Mke wake na majirani zake walikuwa hapendi tabia yake ya kulewa mpaka anapoteza network.Hata hivyo mke wake kwa kushirikiana na majirani...
Hii ni english ya mwanafunzi bora wa form 4 kutoka shule mojawapo za kata TZ akimwambia mzungu ugumu wa kupanda mlima k/njaro sababu njia haijanyoka moja kwa moja:
SIR, TO PLANT MOUNT...
Members wote mliokuwa kwenye Party ya jana iliyoandaliwa vizuri na wana Chit-Chat napenda kuwapa pongezi sana ila nakitu kimoja chakuongea kutokana na kukutana sura ngeni na changamfu nimefurahi...
naomba suti ya guchi kama ya ruttashobola
na shati ya chui chui km ya Bishanga
na ule mkanda wa chuma,kama wa @ KakaKiiza
sijamaliza
hiiivi duka lote shilingi ngap!????
hahahahahahaha. Paloma...
Mume: Hello baby!
Mke: Hello swt!
Mume: Nitachelewa kurud leo
Mke: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, ww ni mzinzi sana cjui ilikuaje ukanioa nakuchukia kama nn? ckupend! ckupend!
Mume: Niko...
Kwa muda usiozidi masaa ishirini na nne nitawasilisha waraka wangu ambao utakuwa una mapinduzi makubwa katika chit chat
Wote tunajua mapito ambayo chit chat iliyapitia hivi karibuni ikiwemo...
Mwalimu mmoja wa shule zetu kama nilizosoma mimi shule za msingi yani alimuagiza mwanafunzi wake akichanganya lugha ya kiswahili na kiingereza...... MWALIMU; we Evarist nifatie stick nimtandike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.