Mabibi na Mabwana habarini za asubuhi....
Kutokana na kimya kingi kutawala katika NDOA yangu na C6 sasa natangaza rasmi kukiaga Chama cha TAMU (Tanzania Married Union) Taratibu zote zimekwisha...
Ashakum si matusi ndugu zangu.
Nadhani wengi tunauzoefu na vyumba vingi vya vyoo dimension zake, Sasa assume chumba cha choo kingekuwa na ukubwa wa rumu yako unayolala, ungekuwa huru kujisaidia.??
Wengi waliniuliza Id yagu nikawazuga kuwa niko kama guest, Niliwaona 4 first time: @Madame B, lara 1 Kakakiiza na
wana Jf wengine(Wana sura za kijanja sana), Nilitaka kumuona snowhite(eti yuko...
Hellow.....
Wapendwa wa JF Dar Wing napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa JF Dar Wing kwa ushirikiano mlionao. Hakika ni mfano wa kuigwa na mkiendelea hivyo mtawafunika JF Arusha wing...
Wana chi-chat wanamipango ya kununua Tour bus ili iwe na uraisi wakufanya tour katika wing za Arusha,Tanga,hivyo Mwanza,Mbeya mnaomba mjioganaizi ili tujue kama kuna makundi huko!!
CHIT-CHAT FOREVER!!
[intro]
Ni miezi kadhaa imepita niliposema �I do� kwa mke wangu.
Hata mwaka haujaisha nshasema Goodbye.
(Unh) chumba changu cha kulala kimepwayaaa
Ulikijaza kwa tabasamu, kwa...
Msikie mwehu huyu alienda kwa rafiki yake kupiga story, mara mvua kubwa ikanyesha mshkaji akabidi amwambie rafiki yake usijali utalala hata hapa sebuleni kwa kuwa mvua kubwa! jamaa akasema poa...
Habari waheshimiwa mliotukuka saana,mnao akikisha JF inasonga ,
Baada ya kuhakikisha nimevuna maharage yooote,choroko,mboma na alizeti kw mama kijijin sasa nimerudi tena baada ya kutokuwepo kw...
Habarini za Muda huu Member Wenzangu.
Ikiwa yamebaki Masaa tu kuelekea Saa 11 jioni kwa Ajili ya ile Party Yetu,
Hapa Napenda Nitoe Ratiba kamili ya Yatakayojili Pale Kebby's Hotel...
Mdudu wa ban kaingia chichat,si bure,kuna mahali tumeanza kuharibu.Kikubwa ninachokiona mimi ni kuwa utani,masikhara na dhihaka kuna wakati vinavuka mpaka na kuwa udhalilishaji. Tunapokosea na...
Nimeisikia toka redio fulani hivi. Msanii kaulizwa swali, 'vipi mipango yako ya shule...'
jibu: michakato ipo kwenye process... Mh!
Yako ya kufungia siku ipi?
Kamwene....
Naanza kwa kudiclare interest kuwa wahehe ni watani zangu, hivyo hamna uwezo wa kunifanya lolote.
Swali langu ni kuwa, kwanini maeneo yenu mengi mkoani kwenu (Iringa), majina mengi...
Mtoto katoka shuleni huku analia, alipofika nyumbani. Baba yake akamuuliza ''unalia nini'? MTOTO '' Nimepigwa na mwalimu na nimeambiwa twende wote shuleni''. Wakaenda shuleni na wakaingia ofisini...
Mume: Hello baby!
Mke: Hello swt!
Mume: Nitachelewa kurud leo
Mke: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, ww ni mzinzi sana cjui ilikuaje ukanioa nakuchukia kama nn? ckupend! ckupend!
Mume: Niko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.