JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hebu tuongee kidogo, hivi unahisi usaliti katika mapenzi unasababishwa na nini?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Swali lenyewe ni hili hapa ( Je Ni nani ambao ni wawili hawana watatu wao?) Nitashukuru mukinijibu hili Swali langu kwa ufasaha wa maneno najuwa humu ndani ya Jamii forums kuna Ma Great Thinker...
2 Reactions
59 Replies
6K Views
ni marufuku kabisa kufungua na kusoma tangazo hili
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Gregorian Calendar - January 5, 2013 (Saturday) Hijri Calendar - Safar 23, 1434 AH.
0 Reactions
3 Replies
865 Views
Wakuu, niko huku Masaki Chole Road karibu na tpsf, nina kikao na kampuni moja ya Wachina, sasa huyu binti wa kichina kaniandalia Chai ya kichina yaani imeungwa na tu vijani tubichi na kaniletea...
9 Reactions
93 Replies
5K Views
Mtoto kapelekwa hospitali na mdingi wake, docta akawa anamuandikia dawa, baba yake akatoka nje kuongea na simu. Mtoto akamuinamia daktari akamwambia kwa sauti ya chini chini, 'Dokta kwenye dozi...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa alikuwa anajaribu kukwepa malipo baada kufanyiwa operation ya macho, kwa kusema ''bado sioni'' Doctor akamwambia Nesi avue nguo mbele yake. JAMAA. ''bado sioni'' Dr. akamwambia nesi apanue...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
The doctor comes out of his office into waiting room for the next patient.He is shocked to see a man sitting there with a frog growing out of his head . The doctor cries,''oh my God,how did that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepost kule jamani nendeni mkachangie ila angalieni msije mkala ban manake kule Bishanga alienda akapewa za uso, za pua, hakurudi tena, hilo jukwaa kiti moto sirudi huko tena, Thread inasema...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
naomba kuuliza ndugu khs huu mfumo wa digitali eti kwa wale wenye cm zenye tv na wao wanashauriwa kuwa na ving'amuzi? kuuliza c ujinga
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Muandaaji wa shindano la miss chitchat anatafutwa kwa udi na uvumba. Tokea shindano hlo limekwisha mshindi amekwishapatikana lakini hatujatangaziwa kuhusu utaratubu mzima wa zawadi kiasi kwamba...
1 Reactions
103 Replies
5K Views
KIJIJINI KWETU
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jf! Mwenzenu nimekamatika na hii komedi ya kimarekani inayoitwa MADEA GOES TO JAIL.nadhan hata mara sita imefika tangu nianze kuiangalia.nikiboreka 2 namuwaziaga huyu jamaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi kwa nini watu wanadhani eti ukipanda ndege "unakula bata"
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hawa jamaa wamebarikiwa sana, yani ni werevu, wajanja, wana busara, wana nguvu, ni wachapakazi, wanajiamini, ni viongozi, wanajituma, alafu wanahela na wanampenda Mungu. Yaani wahaya...
3 Reactions
55 Replies
9K Views
Wadau kwa hisani ya Bishanga na TANMO na body ya wadhamini kwa ujumla wake niwape mbili tatu zilizotukia hadi tunafunga mwaka 2012 kama ifuatavyo i. Madame B awagonganisha Ruttashobolwa, Chili na...
7 Reactions
88 Replies
4K Views
Happy Friday Peoples!! Jamani Hiszi sikukuu zilifululiza sana. ''chop my money coz I dont care'' imenimaliza. Have a peacefull friday!!! Byeeeee!!!!!!
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Napenda kutuma salam zangu za upendo kwa Maxence Melo, Invisible (ROBOT) Paw, PainKiller Roulette, Silencer, Buchanan, Cookie Fang, Meezy, (nimekusamehe) Moderator, Moderator1...
19 Reactions
180 Replies
15K Views
''Mbele ya mtumishi wa Mungu, bwana harusi bila woga ni pale tu alipoulizwa. 'una kitu gani kama ishara ya upendo wenu'? Basi akafungua zipu, akaanza kuitoa na kuingiza kwa mkewe/ Bi harusi naye...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom