Heri ya Mwaka mpya wana JF wote!
mwaka 2012 JF sikutimiza malengo yangu yote
mimi niliingia humu JF ili niopoe mdada angalau mmoja humu lakini jitihada ziligonga
mwamba wadada wa humu ni...
Kama unataka kuwa maarufu Tanzania na duniani kote kwa muda mfupi tena bila gharama, chukua kitoto cha nguruwe
kakifungie msikitini, piga chata lako hapo, halafu sikilizia.
Warning: Don't try this!
Nimesoma kwa shida na taabu nyingi, misukosuko na dhoruba ndizo zinazo endelea kunisonga tangu nikiwa mdogo, labda rabsha hizo kwa kizungu ndio huitwa challenges.
Mtaa ninaoishi ni wa hali ya...
habari waheshimiwa wa CC?
nimeona Mwaka huu nianze na tangazo nililofunga nalo mwaka 2012, kwa salamu kuwa nimerudi na kama kuna mtu alishika nafasi yangu mwambieni mapema am back
salamu nyingi...
Mlevi mmoja alikuwa anapita kando ya mto, mara akamwona Pastor anawabatiza watu. Akaamua na yeye kujiunga kwenye foleni, ilipofika zamu yake akazamishwa mara ya kwanza. Akaulizwa ''umempokea YESU...
Leo wakati nanunua magazeti niligundua kuwa wote waliotangulia kununua hawakuchukua gazeti la juu. Nikamuomba muuzaji ajaribu kumtolea mteja anayefuata gazeti la juu kabisa, lakini naye akakataa...
Hii nimeinyaka mahali:
Juzi wakati naelekea home nilipita pale Salenda bridge nikaona mfuko umetupwa kando ya barabara,nikasogea nikaangalia ndani nikakuta millioni 5 na vitu vyingine kibao...
Mie natokea ukoo wa akina king'ast, na arabela. Nakusudia kufunga ndoa na mrembo yeyote mwenye uzuri na sifa yeyote,ndoa itafungiwa hapa ha CC.na tarehe itatangazwa baada ya kumpata mrembo. Haya...
mkipata taharifa kuna ndege nyingine ya serikali inauzwa laki 5,naomba mnishtue,niko na ndoto siku nyingi ya kumilik ndege ata kama isipopaa nitaiweka garden tu kama kivutio,
atayepata taharifa...
Habari zenu wana Jf
Leo kuna ki2 nngependa kukifahamu. . . . .
Kuna watu wanasema ya kwamba Mwanaume mmoja ana Akili ya wanawake 28 (ishirini na nane) ikimaanisha ana akili zaidi ya mwanamke...
Katika safari kulikuwa na MZUNGU, MCHINA ,MMASAI & MCHAGA, ...
Wakiwa katikati ya safari meli ikaanza dhoruba na kuelekea kutaka kuzama, ikalazimika kila mtu atupe baharini mizigo aliyobeba...
Kweli wakenya noma...kwa wale wenye ving'amuzi mtakuwa mnaenjoy vya kutosha kipindi cha comedy kiitwacho NASWA katika tv ya Citizen..nimekipenda sana,macomedian wa kibongo tunawasubiri kwa hamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.