JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tz n nouuma,cku meli imezama zanzba,wakaweka taarabu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa kaingia bar akamkuta mlevi anakunywa biere huku akiwa na mbwa pembeni. (JAMAA):Oyaa mbwa wako hang'ati? (MLEVI):Hapana hang'ati. Jamaa akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.mara ghafla...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi george mayeye nawajulisha kuwa cheti cha form namba s.007/221 kimeungua. Yeyote atayekiona atoe taarifa kituo chochote cha polisi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Babu baada ya kwenda mjini akitokea kijijini alipokelewa kwa vyakula na vinywaji vyakutosha, mpaka akasaza, baada ya kushiba na kuanza kunawa mikono, akasikia mwenyeji wake akìsema "weee david...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dogo:kitendawili? Wanafunzi:tegaaa! Dogo:nivue nguo nikupe utamu mwalimu: wewe mtoto hebu wacha kutukana, nitakuchapa?... Dogo:kumbe mwalimu ww pia kilaza? Jibu lake ni NDIZI!.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
2kutane next
0 Reactions
0 Replies
1K Views
facebook wengine kila siku wanabadilisha status mara single,mara in relatioship,mara complicated,mara tena single, ukitaka like adi uandike kitu cha kijinga,ukisema nimeshinda million 50 upati ata...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wapendwa woote kwa pamoja mkiongozwa na mon sherrry Ronn M na mama gfsonwin,shem@Erickb52 na wote kwa pamoja nawatakia kheri ya mwaka mpya uwe wa amani ,mafanikio na baraka telee!
1 Reactions
6 Replies
962 Views
jamaa kamtoa mpenzi wake out jamaa: chips yai bei gani? mhudumu: elfu 2 jamaa: zina kachumbari? mhudumu: ndio jamaa: kachumbari mnauzaje? mhudumu: kachumbari ni bure jamaa: ok basi naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
My new year resolution is to simply remember to write 2013 instead of......2012 Please we dont have to judge each other by our past, we dont live there anymore. Its a new year we thank God for...
1 Reactions
2 Replies
883 Views
Hey guys! I need your opinions on this.Some people believe that praying loudly makes God know you are serious.Others view it as a sign of maturity in Christ.Some churches even say praying loudly...
0 Reactions
1 Replies
550 Views
Wadau kwa hisani ya Bishanga na TANMO na bodi ya wadhamini kwa ujumla wake niwape mbili tatu zilizotukia hadi tunafunga mwaka 2012 kama ifuatavyo i. Madame B awagonganisha Ruttashobolwa, Chili na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wote wa CC........ Naitisha rokoo hapa, ambaye kafungua mwaka 2013 akiwa majicho.... Nikimaanisha watakaoitika kuanzia saiv mpaka saa 12 asubuhi aitike kama ifuatavyo:- 2012 na 2013...
3 Reactions
83 Replies
4K Views
jamani wenyeji wa humu Chit-Chat naombeni hifadhi walau hata ya wiki moja hadi huu mwaka uishe, nimetokea kule jukwaa la stress kuna wale vijana (siku hizi wanaitwa masalia) wameniudhi sana...
2 Reactions
145 Replies
7K Views
wewe mtu wa ajabu sana; Unauliza maandamano ijumaa, Unauliza ujauzito matenite ward unauliza rais ajae bongo wakati eddo unamuona
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Eti
1.Eti jeneza laki 4,kwani linafufua?! 2.Eti hand bag 80000,kwani inabeba mimba ama?! 3.Eti bash ya kuvuka 2013 ni 80000,kwani itanivukisha hadi 2015 au?! 4.Eti kuangalia movie ni 12000,kwani...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani hivi wanawake wenzangu mnajua alichokifanya huyu Mzee Bishanga. Basi wiki iliyopita inasemekana alionekana Maeneo ya Mwananyamala 'A', pale Leo Tupo Hapa Pub walipokutana wana Chit Chat ili...
5 Reactions
107 Replies
7K Views
Boy:nnawezaje nkamwambia ukweli demu nmpendaye girl:its simple nenda kamwambie ukweli 2,itakuwa fine. Boy:ok lets first practise kabla cjaenda kumwambia girl:its great., boy:i luv u...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom