Habari za wakati huu wanajamii Wenzangu. Mimi kama mmoja ya wadau wa elimu na masuala ya kijamii nina maono flani nataka kuyafikisha kwenu kwa
ushauri na upembuzi zaidi. Kwa nini serikali ama...
Ukweli nikuwa naye humu JF kwa mwaka sasa ila nimeachana naye naye simwingine najua nyote hili jina siyo geni masikioni mwenu!Ni huyu 2012 nimeachana naye na kwasasa ninaye 2013 ila sijui tabia...
Hapa tunakatakata madebe,na kupasha moto madufu.
Ikifika mda kutembeza mitaa yote ya huku kwetu migomigo.
Kama upo karibu dondosha eneo lako tukuletee mpaka uwanjani umuone amu anavyosakata...
hadi nimetoka Tanga, hakuna aliyeweza kunitambua achilia mbali kunitazama kwa macho ya samaki na Paka.
Mshindwe midume nyie wachoyo wa mali zenu.
Happy New Year, bora niwasamehe bure
Jamani kuna mtu kaniambie eti waigizaji Vicent Kigosi( Ray) na Blandina Chagula ( Johari) ni wapenzi au kwa lugha nyingine ni mke na mme vipi wakuu kuna mwenye data kamili atumwagie hapa.
kha..!! Mi leo nmeshangaa sana et ndo mwaka mpya nikijua ntaona kumebadilika kidogo labda ata jua lingewaka la rangi ya blue.....agrrr....!!! damn it huu mwaka nahisi utakua ni mtumba
NB:sio...
Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa mimba, huku akitweta kwa hasira. Mazungumzo yalikuwa hivi:- KIJANA:- Ni kweli mzee mimi nimemtia mimba binti yako. Ila akizaa...
Juzi tulipata wageni kutoka China walikuja kutembea nchini kwetu na kusherehekea mwaka mpya. Katuka watu waliokuwemo kwenye msafara wa kuwaongoza namimi nilikuwemo kwakuwa najua kichina kidogo...
Habari wana jamvi la Chitchat...
Pasipo kupoteza wakati naamini wengi wetu tumekuwa tukifuatilia mchakato mzima wa kumpata JF Miss Chit tangu ulipoanza na hata leo tar 31/12/2012 ndio hitimisho...
Kwa kuvuka salama 2012.Ukome sasa kutembea peku peku,shukuru Mungu amekunusuru phina ni hechaivi negative and so is her current bf the great billionare!
Wasalaam wana JF.
Kwanza napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kunijalia mimi, familia yangu, ndugu, jamaa, marafiki na wana JF kwa ujumla afya njema na nguvu ya kuuona mwaka 2013,
Ni wengi...
mara nyingi tumejikuta tukichapia au kuongea kinyume bila wenyewe kutaraji au pia tumewasikia wengine !cheki hii hapa natumai una yako.
Gongo la mbali na mboto wapi ubungo?
Sema wewe!!!
Buruduka na music, movie (aaaah, kanumba hayupo), haya waweza kupata japo wine hapa Dodoma Mvinyo!!!
Kama ni shida,
Tafuta kitu ingineeeee, umeniskia kongosho, madame x, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.