JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
mwaka huu tutashuhudia wenye simu za michina wakipotea hewani kimya kimya, na wale wa antenna za mwiba wa samaki ndo hivyo tena, huu mwaka wetu ving'amuzi jeneresheni, happy new year Erickb52...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa upande wangu mwaka uliisha mara tu siku ya Christmas ilivyopita. Namshukuru Mungu nilivuka salama japo kiafya siko mzima sana. Ila leo nimekaa naona kuna huzuni inaniandama, Nimejaribu...
4 Reactions
108 Replies
5K Views
Jaman leo nmetabriwa, mke wangu atakuwa muuza v2mbua,nfanye nn mimi mtoto wa billgate,et wana jf
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu. Naomba nitumie mda huu ulobaki kabla mwaka kuisha kuwaomba msamaha wale wote nilio wakwaza kwa namna moja au nyingine. kila binadamu ana mapungufu yake so i'm sorry!!. Wale...
3 Reactions
6 Replies
839 Views
Mwaka 2013 ibada zitakuwa hv: Mchungaji; Bwana asifiwe! waumini:Ameen! Mchungaji;Tuchukue laptops,iPad,tablets na sim zetu tufungue wakorintho13:13! Pia washeni bluetooth ili mpokee mahubiri.Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawakie kheri ya mwaka 2013 Mungu mwenyezi ni mwema anatupenda, tumshukuruni.
0 Reactions
1 Replies
727 Views
2012 the end of the world!!!!!!!! well it never happened. So what the conspiracies got for 2013? The masonic year only because it ends with a 13? i don't think it is. There's only one thing that...
0 Reactions
17 Replies
990 Views
Nasikitika sana kuona peoples zikini husisha na Ciello pamoja na Lara 1, hiyo ni sawa na kulitea dhahama kwa huu mwaka kabla haujaisha. N:B, Ciello ni sawa kabisa na mama yangu. Je? Tamaduni zetu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni member yupi ungependa kutoka naye kwa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka? Angalizo: Kamati ya mahusiano chini ya Baba V Mamndenyi Judgement iko macho, usimchukue wa mwenzako. Mahusiano...
8 Reactions
245 Replies
11K Views
BOY: Baibe, i know i did u wrong but i just ask 4 ua forgiveness.... GAL:[message seen] 3minutes ago. BOY: Hunnie, pliz just forgive me... am a human being and am not perfect neither are...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wajukuu na wapendwa wangu, Napenda kuwafahamisheni rasmi kuwa mie babu yenu ODM nimeamua kubadilika mwaka ujao (Umri ushaenda huu mambo ya ujana niwaachie vijana.) Hivyo basi ile biashara ya...
4 Reactions
66 Replies
3K Views
usiku kuamkia kesho tanzania inabadilisha mfumo wa matangazo ya tv kutoka analogia kwenda digital,jivo naomba wanachitchat ambao awana ving'amuzi muwai mkachukue huu si upepo ni kweli,bado...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Kuna hili tangazo la redio la modemu ya iz-net n noumaa.demu alimkuta jamaa yake yupo na laptop anachat net kwa ku2mia modemu ya iz net.demu:mpenzi,tangu ulivyonunua modemu ya iznet,cku hz huongei...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Utafiti unaoneshe IQ na EI vya manoah ni zaidi ya Mwigluuu Chembaaa na Naaapeee. Sasa si ni bora wange mteua manoah kua katibu au muenezi wa itikadi wa chama. Maana kidogo manoah anakua na busara...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
A female teacher was having problems with boy in her 3rd grade Class. The boy said, "Madam, I should be in 4th grade, i'm smarter than my sister but she's in 4th grade". Madam (the...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekutana na tangazo hili la kazi ya Computer Engineer, lakini namba ya simu ili kuipata hiyo kazi ni sharti upige kwanza simu, na namba ya hiyo simu imeandikwa kimafumbo. Nami niko huku shamba...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Tosabiso abangise pepe naliko naipele botema nangae sherii nono ya CHISTMASE mobili mobimba naitese didii moningate ya MWAKA MPYA. motema nayaya tete nangai sherii. Izamote na mwana nzambe ya 2013.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman mi n mwanaume na miaka 0+cjui ngap,mrefu mrefu,mdogo wake obama,natafuta mchumba
0 Reactions
7 Replies
2K Views
I Called my friend and this is what his caller tune had; You asked for my Phone Number and i Gave it to you You asked to marry me and i gave you my whole You asked for peace and Love and i gave...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom