There was an accident, the police came in and started investigations. this time the interrogation was between the police and the cat.
Police: What has happened?
Cat: My Masters and were involved...
I'm so sor sweetylady naamini itakuwa vigumu kunielewa ila ndivyo ilivyo. Mapenzi yetu yalikuwa matamu na mda mwingine machungu ila niliweza kuvumilia. Visa vingi umenifanyia hivyo kunifanya...
Kuna waliotaka jana nipigwe BAN ya maisha mods wakaipotezea, wengine wakaniponda na maneno mabaya wakadhani nitaogopa nipotee humu, kudadadeki hatishwi mtu nyau hapa, weraaaaaaaaaa!!
Halafu leo...
A boss was telling an applicant the two main rules of the company...
He said
Our 2nd rule is cleanliness. Did u wipe ur feet on the mat before coming in?
the applicant replied,
Yes Sir! I did...
Walevi waliokota kioo.,mlevi wa kwanza baada ya kutazama akasema.,"Hii sura si ngeni ila jina silikumbuki"..Mwenzie akakichukua kile kioo na kuangalia kisha akasema "We chizi kweli,si mimi huyu...
Hayawi hayawi yamekuwa. Kama kuna watu walikuwa na mashaka basi wakuje waone wenyewe.
Karibuni sana wageni & feel at home!!
Babu DC!
Updates
Day 1 imeisha salama na sasa tunasonga mbele...
Wanabodi.
Naomba kuuliza kidogo kuhusu New Technology ya Digital.
Eti wale wenye simu zenye TV wanatakiwa kununua king'amuzi ili kuona TV.
Nifahamisheni wanabodi.
Kiufupi ni kwamba nimeboreka sana na nina mihasira balaa hapa nilipo.
Nimewatafuta wala bata kama watatu ambao natoka nao wote wamekumbatiwa hawawezi kutoka.
Na mie leo kila nikikaa kitandani...
aaaaaaaaaaaaaaaaash!
Filipo, Blaki Womani, marejesho, Lily Flower, sweetlady, Arushaone, Erickb52, Mzee wa Rula PakaJimmy na wengineo kutoka kila kona ya chitchat
Choose your actions and words wisely this year so that you are remembered as a good human being, a great friend and a true guide when you end this year. HAPPY NEW YEAR!
Nenda wana kwenda mwanawani lakini hii nizaidi ya kali. Ewe mwanaume, unawezaje kupokea kichapo toka kwa mwanamke uliye mlala na akakuzalia issue? Kama si laana ni nini? Nadhani hata wale wa...
Hi dear; Yesterday, I was passing by your rectangular house in
trigonometric lane. There I saw you with your cute circular face,
conical nose and spherical eyes,standing in your triangular...
Jumuiya na ubalozi watanzania washington.. ..wanakuletea.....new year's eve bash kwa watanzania wote wa dmv na majirani....burudani kutoka kwa lokassa ya mbongo...freeee champagne toast at...
Nilifika Jana TNG saa 9 kasoro ivi, bahati mbaya ni mala yangu ya kwanza kufika pale, basi katika uliza uliza kuna binti mmoja ni mrembo hata beyonce hatii mguu pale, akasema eti na yeye ni Jf...
habari wana chitchat,kiukweli naipenda hii jukwaa nasoma kila siku yani ila natamani kucomment nashindwa mana kila post nayo iona ni kwamba wanaochangia ni walewale like mnajuana na mnajua nini...
Presha inapanda,
presha inashuka,
kila nikipigiwa simu ni mambo hayo ya matokeo inasemekana waliofaulu ni asilimia 15 tena wale ambao walirudia mitihani au walioexempt somo moja.
Na...
If she don't come into my hut, she will hurt my heart.
She sales seashel in Seychelle.
Never say never again.
Careless whisper.
Naomba nisaidiwe maana ya sentensi hizo hapo juu kwa kiswahili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.