Ni asubuhu hii wapendwa wageni wameondoka kurudi kwao....
Ilikuwa raha sana kuwaona wana JF hawa wakiongozwa na PakaJimmy.
It was so great moment meeting you friends, Preta, watu8, Madame B...
hivi kama mzazi yaani baba, mama au kaka, ndugu kwa kuona tukio la huyu mtoto utajisiaje?
Any way naona binti ana kachura fulani.
Ova
Mshana Jr
cocastic
King Kong III
Nakadori
anasbo
Juzi nimeenda kuzika rafiki yangu huko kijijini kwao, sasa utaratibu ni kua baada ya kuzika mkiwa hukohuko makaburini mzee wa kimila hua anasimama na kumtangaza atakayefuatia kufa.
Mzee huyo...
Na nasikia anatamani mno na sana Kumjua GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ili amuulize anataka ampe Cheo gani ili amsaidie na alisaidie Taifa lake...
Leo ni leo.
Leo nimeamua kuweka ukweli wote wazi mbele yenu.. Kwanza uzi za maana watu mnakuwa wagumu kujibu ila nyuzi za hela na mafanikio ya haraka mnakuwa wa kwanza.
Haya siri ni kama...
Mwanamama FaizaFoxy , NGULI na mtabobezi wa maswala ya mawasiliano ni tishio hapa jamvini ndio maana anaogopwa na kushambuliwa kila anapoandika.
Hamna wa kumshindia kwa hoja, iwe Ni kwenye siasa...
Unaambiwa bob killer ambaye ni muuaji mkuu katika kundi la seven brothers waliotekeleza mauaji ya bob junior amemchumbia mtoto wa bob junior.
Na unaambiwa kwakua binti huyo wa bob junior...
Kimsingi mimi huwa sina wazo la kumtapeli mwanamke yoyote isipokuwa huwa naona uzito wa kutoa ile hela ambayo kabla ya mgegedo haukuanza, yani pisi nazolenga kwanza huwa nikali hatri yani pisi...
Oh my God, mbwa anaingia na kutoka nyumba tunayoishi, room mate kamleta mbwa mdogo wa kucheza nae, shughuli si ndogo hii!! kuna muda tulienda kikazi mkoa x kwa miezi mitatu, niliishi na jamaa...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Leo ni birthday yangu. Nawamiss sana watoto wenzangu tuliozaliwa wote pale Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Nakumbuka tulilia sana siku ile, ilikua ni...
Kwa wale wote ambao hawana ujanja kwa ma ex wao wakitaka rematch,au kukumbushia enzi lazima unase tu kwa njia wanazotumia kwa sababu anakujua vizuri weakness na strength zako, tukutane hapa...
Aisee hapa jamaa wamenikamata wamenituliza,ishu inakujaga nikishakunywa Kilimanjaro mbili tu naanza kwenda na beat ya mziki,mara na simama[emoji4]je we unachezaga unapokuwa baa ukishastua?
Miaka ya 2005 kuja 2010 enzi hizo Jamiiforum siyo maarufu, kulikuwana na blogspots nyingi sana zilizokua hot. Mimi nazikumbuka hizi.
1. Mbeya yetu blog, Morogoro yetu, Iringa yetu, habari za...