Karibu sana Mama na Asante kwa Kunifolo GENTAMYCINE hapa JamiiForums, ila nikuahidi tu kuwa japo Unanifolo, Unanipenda na Kunifuatilia sana, ila sitoacha Kukukosoa ukiharibu na Kutofurahia...
Hellow guys
Tufanye safari ya utalii kisiwa cha tumbatu ambapo huko u amshubudia jini kabisa na una mweleza shida zako na anatatu moja kwa moja yaani unaongea na jini uso kwa uso tufanye utalii...
Nipo peke yangu Leo,jana nilikuwa na mamsapu na nilikula tunda vizuri,Cha ajabu Kuna kazi nilikuwa nafanya, ghafla uume umesimama ndindi,naona kama napata kero flavi hivi ukizingatia kuwa ntarudi...
Amin kuwa pesa haiwez nunua kila kitu au kufanya kila kitu vuta picha siku upo home umelala bank una kama m 10 💰hivi ila 📱imezima afu umezidiwaaa unaumwa atari ata kunyanyua mguu unashiwa ndan...
Habar wadau,
Kama heading ilivyo, nipo Mwanza kikazi kwa siku 3. So naomba wazoefu wanisaidie kiwanja kizuri naweza enda kula bata na kuona watoto wazuri.
Asanteni sana.
Habari wana MMU, leo siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu, ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu na wazazi wangu kwa siku hii muhimu sana.
Ahsante kwa afya njema, pia muwe na siku njema wana MMU...
Acheni kabisa..
Mwanamke apendeze ndiyo utaona urembo ni mzuri kias gani..siku ya Wanawake nimepata pisi za maana tatu.
Kwa kuwa ilikuwa siku yao ya kujiachia nilitumia fursa hiyo. Mnamo saa...
Sina hakika lakini nadhani udaktari wao ni wa heshima kama wale wabunge wetu kule mjengoni.. Hii inaleta uwiano mzuri sasa kwakuwa si lazima uwe mbunge ndio utunukiwe udaktari huo wa heshima...
Kutokana na cdm kuomba kumlamba miguu JK ili abadilishe mtazamo wa kusaini muswada wa katiba, hii yaonyesha km cdm wamealikwa kunywa chai na kupiga picha na mkuu huyo wan chi halafu kuondoka...
mwenye kujua naomba anifahamishe maana waziri wasira alisema viongoz wa upinzan wanataka kumuona rais jk ili wanywe tena na akasema safari hii hakuna kunywa kitu.
Kiukweli shunie nakupenda sana kama samaki Na maji kila nionapo avatar yako naugulia moyo mithili ya sindano ya krolokwin,nipo tayari kujitambulisha kwenu Na kuleta posa ya hamsini elfu au laki...
Habarini.
Leo 8 March Siku ya Wanawake Duniani jamani wanawake wa Dar es Salaam mmetisha sana. Nyie Watu wapendeza jamani, kila aina ya kitenge kilikuwa hapa leo, Wakinga wa Kariakoo hakika...
1. Uvivu kitandani (kubaiolojika).
2. Uchafu hasa ule wa kutupa hovyo na kiholela taulo zenu za kike mitaani na uvivu wa kunyoa mapori yenu ya Kibaiolojia.
3. Kuibiana waume/mabwana kimakusudi...
Habari wakuu,
Nilikuwa nacheki hapa historia ya Tom Cruise na Ex wake, yaani mpaka now 2023 Tom Cruise anauwezo wa kumuita Ex wake huyo ni mama yake na watu wakaamini kabisa...
Ukiona tajiri anatoa siri za mafanikio, basi jua ni FAKE.
Na ukiona mtu anakupa siri za kutoboa, basi jua na yeye hajatoboa, na ni mtafutaji kama wewe.
Mwenye akili na aelewe!
Usiku mwema.!!
Morng guys
Hua sijawai kuwaelewa wanawake ambao wanaenda pub kama vile juliana ana agiza serengeti lite moja kuanzia saa nne mpaka saa tano huwa mnatafuta nini? Ninyi ni omba omba pauperism kwa...
Kwanza nianze na salamu.
N.k.j.j.m.w.
Hii tabia ni mbaya Sana. Wanaume wetu wanateseka Sana wanapojua wamechapiwa.
Wengine huamua kuchukua hatua mbalimbali zikiwemo za kichawi.
Kumtoa MTU...
Tujikumbushe: Mwaka 2008 Wasabato Masalia walitinga Airport Dar wakitaka kwenda ng'ambo wakaeneze injili bila kuwa na documents yoyote kama visa, passport, tiketi nk 😂😂😂
Nchi hii imepitia...