JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku. Mwenye...
2 Reactions
226 Replies
9K Views
Nipo kwenye daladala hapa Buguruni Makumbusho. Kuna mabishano kati ya konda na abiria kuhusu yupi bora kati ya mvuta sigara na mnywa pombe. Konda anasema mvuta sigara ni bora maana akishavuta...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake. Wadau mnisaidie
0 Reactions
10 Replies
848 Views
Sijajua umetumia idea gani kuchagua ID yako, Ila tambua unatumia ID fake, lakini uwepo wako humu ni real, na yale yote utakayo sema humu, yatakuwa yanawakilisha uhalisia wako. So behave well...
34 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari! Jamaa yuko wapi ? Kimya sana
0 Reactions
13 Replies
478 Views
Jamani kesho ndiyo itakuwa mara yangu ya kwanza kupanda daladala. Nipeni kanuni
1 Reactions
20 Replies
835 Views
Mimi huwa nachukia pombe na sigara sasa leo nimehisi halufu ya sigara mzuri achana na hizi wanazo vuta vijiwe vya kahawa je hizi hazi madhara?
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Unafungua JF unakuta notifications kumi na, unafungua kujua walioreply na kulike comments zako. Unaingia unakuta ni member mmoja kalike comments zako kumi! Si zako tu. Kalike thread nzima. Inakata...
10 Reactions
147 Replies
3K Views
Natumai mu wazima sana, Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'? Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
6 Reactions
135 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari kinajieleza na picha imeambatanishwa mwamba aktubu na Padre kainama kashika kichwa huku kainama mawazo kibao! Unahisi kafanya dhambi gani ya ajabu...
0 Reactions
7 Replies
553 Views
Haijalishi weee hapa tunazunguzmia Mfyooonyo yaani unasikia mfyuuuuu mtu katoa yake na imevutwa kama mpira wa manati, yaani inaanza mbali na ikimalizika lazima utaona cha mtema kuni😂 🤪Wee acha...
0 Reactions
24 Replies
744 Views
Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege...
10 Reactions
96 Replies
9K Views
Wajameni nina swali. Who is the smartest person on JF? Yani genius, akili mingi, great thinker..kuliko wote. Nataka nimjue kipanga wetu.
3 Reactions
137 Replies
5K Views
Nikifikiria hiyo siku isiyokuwa na jina ya kuwazika wazazi wangu au wao kunizika mimi Wazazi wangu wote bado wapo hai
2 Reactions
10 Replies
606 Views
Nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Yaani nimecheka sana kusikia mchezaji Feitoto alikuwa analishwa ugali + sukari huko Yanga. Sasa nawauliza wenzangu huu mchanganyiko wa ugali na sukari unaliwaje? Angalau kidogo ugali + limao...
0 Reactions
2 Replies
569 Views
Fei toto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
2 Reactions
6 Replies
903 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…